mandwa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 1,502
- 372
Nipo kwenye kampuni fulani ya Wahindi, kuna wakaguzi wa masuala ya viwango ISO wapo hapa kwa wiki sasa hawa jamaa ni Wakenya na wapo peke yao akuna Mtanzania hata mmoja.
Na katika kuuliza kwangu nimeambia hii Kampuni ndiyo inagharamia kila kitu kwa hawa wakaguzi kuanzia usafiri hadi malazi.Swali langu inakuaje mkaguzi atoke Kenya aje hapa Tz afanye kazi bila kuwepo hata Mtanzania?
Ina maana hapa hakuna mkaguzi mpaka atoke Kenya?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums