Wajuzi wa English pitieni hapa.

Wajuzi wa English pitieni hapa.

Traveller1

Member
Joined
Nov 6, 2017
Posts
37
Reaction score
18
Kuna dogo wa shule ya msingi ameniuliza nimwabie kwa kingeleza swali lisemalo "niwangapi kuzaliwa?".Wakuu mm university student lakini nimebaki najiumauma simnajua tena lugha ya malkia hii iliyokuja na meli tabu sana.
Wakuu nawasirisha, nitashukuru kujifunza kutoka kwenye majibu yenu.
 
Kuna dogo wa shule ya msingi ameniuliza nimwabie kwa kingeleza swali lisemalo "niwangapi kuzaliwa?".Wakuu mm university student lakini nimebaki najiumauma simnajua tena lugha ya malkia hii iliyokuja na meli tabu sana.
Wakuu nawasirisha, nitashukuru kujifunza kutoka kwenye majibu yenu.
Among your siblings, when did you come? Expected answer: first, third or second. Hicho ndicho kidhungu
 
Huko shule mlienda kusomea ujinga sahivi mnatuchosha
 
Which position are you in your birth order?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wazungu huwa hawanaga watoto wengi thats why is so hard to translate it kawaida wazungu huuliza are you first born or last born? Wao ni wawili au watatu tu
 
Rotten english; you are how much number in your the family? au in series family how much are u?

na hii when did you come, inachekesha sana, but Mzungu atakuelewa tu. hii ni common kwa Africa mashariki na kati.Bongo ikiwemo

British honorific grammar ''what is your rank in the family?''

USA venacular language;what is the order of your birth?

inategemea uko maeneo gani hapa Duniani, km Australia wana yao, Carribean vilevile, south Africa, na Zimbabwe pia

cha msingi uwe broad, world wide usikariri kamoja tuuuu ukaona ndo safi kwako, eti umefika mwisho wa umombo.

But hapo kwenu kiingereza ni shida walimu wanauwezo mdogo sana wa kujua mambo. si walaumu wao kw huo ujinga wao. na wala siyo kwamba hawana akili, but ni mfumo dhaifu uliopo tena maksudi kabisaaa!

UDSM! mjue kabisaa wrong education is more dangerous than ignorance. katoto kangu kalikuwa kanaongea good english while in Hong kong, then tukaja bongo loool! kakajifunza english mbovu sijapata ona. quickly i send her back to Hong kong. ajabu viongozi wanapeleka watoto wao nje. ila Ridhiwani alikuwa mbishi sana akaenda Udsm.

Lengo ili msiwe wajanja mtaleta utata, mtakataa kuvuta moshi wa mwenge, mtajiuliza maswali mengi, kuhusu umuhimu wa mwenge.

mkae mkijua mwenge ukikupitia katika eneo lako ukanusa ule moshi, baaasi ujue umekwisha, chunguza wakimbiza mwenge hapo mtaani,kwenu, wewe mleta mada ulijipendekeza sana kwenye mbio za mwenge huko shuleni, uzezeta ukakukumba. na ndo basi tena umepotea.

Nasema haya namaanisha, nimeona mambo meengi ya ajabu yakitendeka humo, na mimi ni mzito sana kupitia marehemu mjukuu wa mtemi babu yangu,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom