Banjuka JF-Expert Member May 7, 2021 1,007 1,891 Jun 24, 2021 #1 Nmeota nimeshikilia vipande vya ulimi nyingi kama kumi hivi kwenye tisheti langu halafu ziko hai kiasi fulani. Wajuzi wa ndoto nakuombeni tafsiri.
Nmeota nimeshikilia vipande vya ulimi nyingi kama kumi hivi kwenye tisheti langu halafu ziko hai kiasi fulani. Wajuzi wa ndoto nakuombeni tafsiri.
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Oct 28, 2020 9,899 19,865 Jun 24, 2021 #2 Nadhani utakuwa unaonywa uwe makini sana unapozungumza. Itakuwa wewe jamaa unaongeaga sana!!!