Wajuzi, nini tafsiri ya ndoto kama hii?

Banjuka

JF-Expert Member
May 7, 2021
1,007
1,890
Nmeota nimeshikilia vipande vya ulimi nyingi kama kumi hivi kwenye tisheti langu halafu ziko hai kiasi fulani.

Wajuzi wa ndoto nakuombeni tafsiri.
 
Nadhani utakuwa unaonywa uwe makini sana unapozungumza. Itakuwa wewe jamaa unaongeaga sana!!! :)
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom