sinyoritah
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 552
- 346
Mkuu wapi ni affordable kwa kununua na Je soko lipoje?Na support kwenye mchele na maharage. Nunua na kuuza. Ila kulima sikushauri sana.
Umenena vyema na ndo maana pia ya uzi huu wanaojua watusaidie chanzo,watwambie bi ya kununulia na watujuze masoko yake yakoje the rest mtu ataenda research mwenyewe physically akiwa kapata mwangaMazao yote yana faida, tafuta chanzo, jua bei ya kununua, kusafirisha...... Tafuta soko na ujue taratibu zake.... Dalali hakwepeki hapa
Mchele ni Morogoro na Mbeya. Kwa upande wa Maharage ni Songea, Tanga na Arusha.Mkuu wapi ni affordable kwa kununua na Je soko lipoje?
Maharage kuna Karagwe na Kyerwa.Mchele ni Morogoro na Mbeya. Kwa upande wa Maharage ni Songea, Tanga na Arusha.
Kuhusu bei, sio fixed na inategemea na kipindi husika.
thanks Mkuu kwa taarifa nzuriMchele ni Morogoro na Mbeya. Kwa upande wa Maharage ni Songea, Tanga na Arusha.
Kuhusu bei, sio fixed na inategemea na kipindi husika.
Ukisubiri mpaka uwe na hizo ela utasubiri sana ,start small just find a means ya how would you do that.Ni biashara inayohitaji hela, ukishakuwa na hela kazi yako kujua faida kiasi gani unapakia mzigo.....
Mkuu karagwe Maharage ni shngp kwa kilo (Maharage ya njano)Maharage kuna Karagwe na Kyerwa.