Wajuzi, kama nchi tufate Ujamaa au Ubepari? Upi mfumo bora kwa nchi?

Makimuda255

Senior Member
Jul 31, 2020
165
286
Hili swali naomba nilidedicate kwa WanaJf wote. Wewe unaamini katika mfumo upi? Ubepari au ujamaa?

Upi ndo mfumo sahihi kwako

Mimi ni mfuasi wa Socialism lakini sio Communism na pia sipendi Capitalism hususan ubepari ulokomaa

Upi ni mfumo sahihi?
 
Wajuzi kama nchi tufate Ujamaa au Ubepari?Upi mfumo bora kwa nchi?

Maana hadi sasa nashindwa kuelewa tunafuata mfumo upi

Kuna ujamaa aina mbili, ujamaa wa kisasa na wa kidigital (socialism) na ujamaa mkali ulokomaa ucommunist

Pia ubepari upo ulokomaa hadi kukaribia kuwa ubeberu na pia kuna ubepari wa kawaida

Kama nchi ni njia ipi itatufikisha katika maendeleo ya kweli yaani maendeleo ya watu?
 
Hili swali naomba nilidedicate kwa WanaJf wote? Wewe unaamini katika mfumo upi? Ubepari au ujamaa?

Upi ndo mfumo sahihi kwako

Mimi ni mfuasi wa Socialism lakini sio Communism na pia sipendi Capitalism hususan ubepari ulokomaa

Upi ni mfumo sahihi?

ujamaa mkuu
 
Hili swali naomba nilidedicate kwa WanaJf wote. Wewe unaamini katika mfumo upi? Ubepari au ujamaa?

Upi ndo mfumo sahihi kwako

Mimi ni mfuasi wa Socialism lakini sio Communism na pia sipendi Capitalism hususan ubepari ulokomaa

Upi ni mfumo sahihi?
UBUGABIRE

OVA...!!!
 
Nchi zote zilizofuata ujamaa/socialism ni wakiukaji wa haki za binadamu,viongozi wako juu ya sheria,askari kupiga wananchi,kutofuata katiba, na kila uchafu e.g CHINA,RUSSIA etc
 
Nchi zote zilizofuata ujamaa/socialism ni wakiukaji wa haki za binadamu,viongozi wako juu ya sheria,askari kupiga wananchi,kutofuata katiba, na kila uchafu e.g CHINA,RUSSIA etc
Kwahyo mabepari ndo wema?kuvamia nchi za watu na kupora rasilimali eeh
 
Twende kujifunza china..si marafiki zetu hope watatupa mbinu za kujikomboa kiuchumi na kijamii..ila je itawezekana kwa hawa viongozi wachumia tumbo?..mana sheria za china ukiiba mali ya umma ikabainika ni kweli kifuatacho ni kifo hakuna kubebana kwa misingi ya chama wala ukoo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom