Hii ni pale kati ilula kuitafuta stand mpya ipogolo.
Ukimaliza huo mlima Iringa Ipogolo hapa,
Sikumbuki vizuri gangilonga au tanangozi ni juu kule mlimani.
Ila kwenye hiyo picha ni unapita hasa ukiwa unaenda Mbeya au Songea mikoa ya kusini kwa ujumla utapita hapo.ni kushoto juu huko na hizo kambi tent ni wachina hao wanatafuta chao.