Habari waungwana,
Kama kuna wadau wanaojua bei za trekta za kilimo tujuzane hapa.
Napendelea sana aina ya ''swaraji".
Karibuni,
By
Young
Dimaa.
John Deere. Inategemea ukubwa wa shamba ulilonalo. Kama ni medium size chkua la HP 75. Kuhusu bei Loanagro pale Morocco wana loan facility down payment nafikiri ni 25m kwa trekta la size hiyo na vikolombwezo vyake. Watembelee pale au Kosolanza, MafingaHabari waungwana,
Kama kuna wadau wanaojua bei za trekta za kilimo tujuzane hapa.
Napendelea sana aina ya ''swaraji".
Karibuni,
By
Young
Dimaa.
Sawa kiongoziMkuu Trekta za uhakika kwa dunia ya sasa zinatengenezwa na Mmarekani(USA),yaani kuanzia Massey Ferguson, NewHolland,Case,John Deere na Versatile.
Hizo ndio top brands za matrekta kwa dunia ya sasa ambapo Mmarekani ndio ametawala .
Labda labda kidogo mwingine ni Mjerumani ambae trekta zake bora zipo Brands mbili ambazo ni Fendt na Claas.
Kasheshe IPO kwenye bei,,,Trekta mpya ya four wheel drive (4WD) na ya miaka ya karibuni kutoka brands tatu nilizozitaja hapo juu Si Chini ya 300,000,000.00/= TSH.
Kama unataka mtumba wa Trekta za hao jamaa hapo juu soko lake lipo UK.Ambapo bei ya Trekta mtumba za uhakika brands hizo hapo juu zinarange kuanzia milioni sitini(60M) mpaka milioni mia hamsini(150M).
Sasa ushauri wangu kwako ni kuwa Mara zote inabidi kuangalia ubora na sio bei.India watu wa kule ni wabahili wabahili ndio maana vitu vingi kwao vimekuwa subpriced ili kuendana na matakwa ya soko lao.Utashangaa kwanini gari la mjerumani linalouzwa UK na India ingawa model ni moja lakini bei tofauti ni kubwa?!! ,,,Jawabu ni kuwa wahindi huwa wanaangalia bei na Si ubora; Mercedes Benz model inayouzwa UK ni bora kuliko Mercedes Benz model hiyo hiyo inayouzwa India.
Nahitimisha kukumbusha kuwa hiyo Swaraj ni tractor-type ya Bajaj Boxer Bm150 in quality.BAJAJ BOXER ni mhindi na SWARAJ ni mhindi.
Sawa, vp kuhusu ubora wa swaraj?, manake kuna mjomba angu anayo zaid ya miaka 5 sasa lakini bado ipo imara tu, na bei yake kama unaifahamu.John Deere. Inategemea ukubwa wa shamba ulilonalo. Kama ni medium size chkua la HP 75. Kuhusu bei Loanagro pale Morocco wana loan facility down payment nafikiri ni 25m kwa trekta la size hiyo na vikolombwezo vyake. Watembelee pale au Kosolanza, Mafinga
HahahaSawa, vp kuhusu ubora wa swaraj?, manake kuna mjomba angu anayo zaid ya miaka 5 sasa lakini bado ipo imara tu, na bei yake kama unaifahamu.
Nimekupa vema mkuu, maana hata mm nilikua nahitaji majibu kama hayo.vipi kuhusu spair za Massey Ferguson, ford nk, je kuna wakala tz?Mkuu Trekta za uhakika kwa dunia ya sasa zinatengenezwa na Mmarekani(USA),yaani kuanzia Massey Ferguson, NewHolland,Case,John Deere na Versatile.
Hizo ndio top brands za matrekta kwa dunia ya sasa ambapo Mmarekani ndio ametawala .
Labda labda kidogo mwingine ni Mjerumani ambae trekta zake bora zipo Brands mbili ambazo ni Fendt na Claas.
Kasheshe IPO kwenye bei,,,Trekta mpya ya four wheel drive (4WD) na ya miaka ya karibuni kutoka brands tatu nilizozitaja hapo juu Si Chini ya 300,000,000.00/= TSH.
Kama unataka mtumba wa Trekta za hao jamaa hapo juu soko lake lipo UK.Ambapo bei ya Trekta mtumba za uhakika brands hizo hapo juu zinarange kuanzia milioni sitini(60M) mpaka milioni mia hamsini(150M).
Sasa ushauri wangu kwako ni kuwa Mara zote inabidi kuangalia ubora na sio bei.India watu wa kule ni wabahili wabahili ndio maana vitu vingi kwao vimekuwa subpriced ili kuendana na matakwa ya soko lao.Utashangaa kwanini gari la mjerumani linalouzwa UK na India ingawa model ni moja lakini bei tofauti ni kubwa?!! ,,,Jawabu ni kuwa wahindi huwa wanaangalia bei na Si ubora; Mercedes Benz model inayouzwa UK ni bora kuliko Mercedes Benz model hiyo hiyo inayouzwa India.
Nahitimisha kukumbusha kuwa hiyo Swaraj ni tractor-type ya Bajaj Boxer Bm150 in quality.BAJAJ BOXER ni mhindi na SWARAJ ni mhindi.
John Deere. Inategemea ukubwa wa shamba ulilonalo. Kama ni medium size chukua la HP 75. Kuhusu bei Loanagro pale Morocco wana loan facility down payment nafikiri ni 25m kwa trekta la size hiyo na vikolombwezo vyake. Watembelee pale au Kisolanza, Mafinga
Nimekupa vema mkuu, maana hata mm nilikua nahitaji majibu kama hayo.vipi kuhusu spair za Massey Ferguson, ford nk, je kuna wakala tz?
Swaraj ni trekta nzuri tu na imara pia zinafanya kazi vizuri.Fika Dodoma, Manyara, Shinyanga, Simiyu, Mtwara etc utapata majibu chanya..Jumla kuna Swaraj zaidi ya 1000 zipo Tanzania.Bei ya Swaraj 744 -48hp ni Tsh 29.8mn, Swaraj 855-55hp ni Tsh 32.8mn. Bei ya jembe Tsh 4.5mn. Unalipa full cash au kukopa unatanguliza nusu (50%) inayobaki unalipa ndani ya miaka 2. Dhamana ni trekta pia uwe ni mkulima mzoefu ktk kipindi kisichopungua miaka 2..ukubwa wa shamba eka 50 na kuendelea. Ukiwa unahitaji na unakidhi vigezo then utani inbox..Habari waungwana,
Kama kuna wadau wanaojua bei za trekta za kilimo tujuzane hapa.
Napendelea sana aina ya ''swaraji".
Karibuni,
By
Young
Dimaa.
Sijawahi muuliza naskiaga tu inafanyaga kaz bado!Hahaha
Sasa mkuu kumbe mjomba analo inamaana una abc...ya hiyo trekta,unataka nikujua nini zaidi labda ungeuliza trekta tofauti
Maana hilo taarifa zote zipo kwa mjomba,uimara umeusema nadhani adi bei atakuwa amekupa labda huna imani naye tu.
New Holland 40hp, 55hp na 75hp 2wd na 4wd zinatengenezwa pia India.New Holland iko njema sana mkuu