Wajuvi piteni hapa

Hapo binafsi naona haiwezekani kwa sababu hizo namba zote ni namba witiri hivyo ukiziweka tatu hata kama utarudia namba fulani mara mbili jibu la mwisho litakuwa namba witiri ilhali jibu linalotafutwa ni namba shufwa. Tusichoshane.

NB: Nina F ya hisabati.
 
Anko T na Mama ndege
Sifuri ni nini? Maana yake hakuna kitu, namba hasi ni pungufu zaidi ya sifuri.
Sifuri ni nini? Hakuna kitu
Sifuri ni nini? Hakuna kitu
Namba hasi ni nini? Pungufu zaidi ya sifuri
Namba hasi ni nini? Aah
Namba hasi ni nini? Aah
Namba hasi ni nini? We bana huelewi nini
Namba hasi ni nini? Nimekwambia pungufu zaidi ya sifuri. Nimeelewa sasa.

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Odd + Odd + Odd != Even
Only Solution is 9 + 15 + 3! = 30
Because 3! = 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…