Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Asma Ali Hassan Mwinyi ameibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Ubunge Jimbo la Welezo Zanzibar. Ushindi huo unampa nafasi kubwa ya kupeperusha bendera ya CCM katika Uchaguzi Mkuu ujao.