Waarabu maneno mengi halafu ikianzishwa tifu wanajamba jamba na kuhara tu wanazidi kuprove failure kilasiku!
Rais wa Iran yupo live UN akihutubia wajumbe na anawapaka live mataifa ya ulaya na marekani wazungu wote wamekimbia ukumbini maana yanwachoma
Mkuu, WAZUNGU WOTE walikimbia ukumbini??????Rais wa Iran yupo live UN akihutubia wajumbe na anawapaka live mataifa ya ulaya na marekani wazungu wote wamekimbia ukumbini maana yanwachoma
Mkuu, WAZUNGU WOTE walikimbia ukumbini??????
Ni kawaida kuwa kama anayehutubia hukubaliani naye njia iliyozoeleka ni kuondoka ili kuonyesha kutokukubaliana.. Na hiyo haiitwi kukimbia.
The Iranian president is flagging out his name to his people. He repeated the same wacky conspiracy theories to half empty UN.
Ahmadinejad gave his usual dumb speech filled with anti-Semitic conspiratorial BS, and delegates from the U.S., France, Germany, the United Kingdom and nearly a dozen other countries all walked out in disgust.
Walewale................udini kila mahali!!!!!Historia yako ni fupi sana..ulifikia lakini ngapi ewe mwana kondoo
Wairan siyi waarabu rudi shule st.pingirimavi.seminary