Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,719
- 1,440
hUYO NI MOJA YA VIONGOZI WACHACHE WALIOBAKI WENYE MSIMAMO MKALI DHIDI YA UFEDHULI WA MATAIFA YA MAGHARIBI
Tatizo la waarabu majigambo mengi, lakini kwenye vitendo hamna kitu. Gadaffi, Saadam etc wako wapi?
Ukiwa na ushabiki uliopitiliza au chuki kubwa juu ya mambo fulani usipojiangalia unakuwa kituko! Fumbua macho uone ndugu yangu, suala la kutoka nje ya mikutano kuonyesha kutokukubaliana ni kawaida sana, linatokea ktk mabunge ya nchi kibao na mikutano mbalimbali ya kimataifa. Sikuwahi kusikia kuwa viongozi wanaenda UN 'kuotea' hotuba za wengine ili wazijibu!! Haya twambieni mkwe.re wetu alijibiwa na nani au yeye alimjibu nani. Maana na yeye nilimuona anajikanyaga huko.hapana ndugu njia bora nikujibu kwa speech sio kukimbia sasa kama anajanganya alafu unakimbia inamaanisha huna ukweli wa kujitetea.mimi naona hapo ndio wanapo onesha kuwa dunia ipo chini yao.
Ukiwa na ushabiki uliopitiliza au chuki kubwa juu ya mambo fulani usipojiangalia unakuwa kituko! Fumbua macho uone ndugu yangu, suala la kutoka nje ya mikutano kuonyesha kutokukubaliana ni kawaida sana, linatokea ktk mabunge ya nchi kibao na mikutano mbalimbali ya kimataifa. Sikuwahi kusikia kuwa viongozi wanaenda UN 'kuotea' hotuba za wengine ili wazijibu!! Haya twambieni mkwe.re wetu alijibiwa na nani au yeye alimjibu nani. Maana na yeye nilimuona anajikanyaga huko.
Ndugu soma vizuri post zangu, hakuna mahali nimetaja uongo au ukweli wa raisndugu numefurahi kuona unataka kuelewa point zangu suala la ****** mimu sijuwi lkn kuhusu aliyoyasema rais wa iran sioni kama wewe unaweza kupinga kwa kutoa ushahidi kuwa ni uwongo.
Mkuu, WAZUNGU WOTE walikimbia ukumbini??????
Ni kawaida kuwa kama anayehutubia hukubaliani naye njia iliyozoeleka ni kuondoka ili kuonyesha kutokukubaliana.. Na hiyo haiitwi kukimbia.
Kaka ni kweli wazungu wapenda kusikilizwa wao tuu. Niko nafanya kazi nao na kuna myahudi mmoja h=niko nae huwa namwambia huwa nyie ni coward mnakimbia matatizo badala ya kuyaingia na kuyafanyia analyisis na kujiwekea mipaka mikubwa mpaka mnashtukiwa na kuanza kupigwa mabomu.
Mbona CHADEMA walivyotoka bungeni watu wakawa wanapiga kelele
Mkuu, nashindwa nikipe jina gani hiki ulichopost hapa!! Ikiwa wazungu wanakimbia matatizo ni watu gani duniani wanaokabiliana na matatizo yao na wamepata achievements kiasi gani??? Nilidhani sehemu kubwa ya dunia inawafuata haohao wawatatulie matatizo yao...Kaka ni kweli wazungu wapenda kusikilizwa wao tuu. Niko nafanya kazi nao na kuna myahudi mmoja h=niko nae huwa namwambia huwa nyie ni coward mnakimbia matatizo badala ya kuyaingia na kuyafanyia analyisis na kujiwekea mipaka mikubwa mpaka mnashtukiwa na kuanza kupigwa mabomu.
Ni wanafiki, waongo na wasiojua kinachoendelea duniani ndio waliopiga kelele.Mbona CHADEMA walivyotoka bungeni watu wakawa wanapiga kelele
Rais wa Iran yupo live UN akihutubia wajumbe na anawapaka live mataifa ya ulaya na marekani wazungu wote wamekimbia ukumbini maana yanwachoma
Mhh sasa waarabu wanahusika vipi na hotuba ya Ahmadinejad? kama unadhani Wairani ni Waarabu unakosea hawa jamaa ni Waajami au Wafursi.