Wajumbe wa UN kutoka mataifa ya Ulaya wanakimbia kikao - Ahmed Najad anawapaka live!

Pepombili

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
439
58
Rais wa Iran yupo live UN akihutubia wajumbe na anawapaka live mataifa ya ulaya na marekani wazungu wote wamekimbia ukumbini maana yanwachoma
 
Tatizo la waarabu majigambo mengi, lakini kwenye vitendo hamna kitu. Gadaffi, Saadam etc wako wapi?
 
Hicho ndicho kidume maana kinaami maisha yanaweza kuendelea bila kuwa na hawa mabeberu.
 
safi sana!!haswa kitendo cha US kukataa Palestina isiwe na kiti UN awapake kabisa
 
Waarabu maneno mengi halafu ikianzishwa tifu wanajamba jamba na kuhara tu wanazidi kuprove failure kilasiku!
 
Waarabu maneno mengi halafu ikianzishwa tifu wanajamba jamba na kuhara tu wanazidi kuprove failure kilasiku!

Historia yako ni fupi sana..ulifikia lakini ngapi ewe mwana kondoo

Wairan siyi waarabu rudi shule st.pingirimavi.seminary
 
Yaani ni aibu sana wamekumbia barazani, hii inaonesha kuwa hawa watu wameshindwa kukaa na kuvumilia maneno ya huyu jamaa hii inaonesha ya kuwa mataifa ya ulaya ni ya kinafiki sana wanaongea tu maneno yao ila nyuma ya pazia kuna ajenda nyengine ila dalili ya mtu mnafik ni kukimbia maneno ya ukweli wanayoambia
 
Rais wa Iran yupo live UN akihutubia wajumbe na anawapaka live mataifa ya ulaya na marekani wazungu wote wamekimbia ukumbini maana yanwachoma

mara ya tatu hii nasikia hotuba zake un na zote wa magharibi wanakimbia.sasa hakieleweki kwanini wakiulizwa wanasema hawawezi kusikia uwongo.mimi binafsi naona jamaa anaongea point ambazo wanashindwa kuzijibu ndio mana wana toa jibu fupi tu kuwa jamaa anaongea uwongo.namwonea huruma ahmed amesha ekewa masharti kibao kwenye uchumi wake na bado ha komi......njia iliyo baki ni kama ya sadam
 
  • ahmed najad yuko sahihi kiasi fulani lakini tatizo yeye mwneyewe hayuko tayari kuruhusu hata japo 20% ya yale aliyohutubia kama mfano bora nchini mwake. (mfano uhuru wa watu
  • USA , UK and the like hawako sahihii kiasi fulani lakini uzuri kiaisi fulani wako tayari ku compromise na kurushu japo 10% ya yale wanayohubiri
Kwa hiyo hapo ni siasa za kuetetea serikali na tawala za nchi si kutetea wananchi na binadamu.

Hii hotuba kamili kutoka Russsiana Television

Last edited by a moderator:
Rais wa Iran yupo live UN akihutubia wajumbe na anawapaka live mataifa ya ulaya na marekani wazungu wote wamekimbia ukumbini maana yanwachoma
Mkuu, WAZUNGU WOTE walikimbia ukumbini??????
Ni kawaida kuwa kama anayehutubia hukubaliani naye njia iliyozoeleka ni kuondoka ili kuonyesha kutokukubaliana.. Na hiyo haiitwi kukimbia.
 
Mkuu, WAZUNGU WOTE walikimbia ukumbini??????
Ni kawaida kuwa kama anayehutubia hukubaliani naye njia iliyozoeleka ni kuondoka ili kuonyesha kutokukubaliana.. Na hiyo haiitwi kukimbia.

hapana ndugu njia bora nikujibu kwa speech sio kukimbia sasa kama anajanganya alafu unakimbia inamaanisha huna ukweli wa kujitetea.mimi naona hapo ndio wanapo onesha kuwa dunia ipo chini yao.
 
The Iranian president is flagging out his name to his people. He repeated the same wacky conspiracy theories to half empty UN.

Ahmadinejad gave his usual dumb speech filled with anti-Semitic conspiratorial BS, and delegates from the U.S., France, Germany, the United Kingdom and nearly a dozen other countries all walked out in disgust.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya iran na mataifa mwengine ya kiarabu wairan wapo mbele kiviwanda na kijeshi kuliko mataifa mengine ya kiarabu halafu hawa jamaa asilimia kubwa ya bidhaa za na silaha za kijeshi wanatengeneza wenyewe
 
The Iranian president is flagging out his name to his people. He repeated the same wacky conspiracy theories to half empty UN.

Ahmadinejad gave his usual dumb speech filled with anti-Semitic conspiratorial BS, and delegates from the U.S., France, Germany, the United Kingdom and nearly a dozen other countries all walked out in disgust.

na wewe acha zako anti semitic unaijuwa kasema wapi kuhusu anti semetic.mtu akidai haki kutoka kwenu muna sema anti semitic unajua hata warabu ni semitic sio mayahudi tu.
 
Back
Top Bottom