GE2025 Wajumbe UWT wazuiwa kuuliza maswali kwa wagombea ubunge

GE2025 Wajumbe UWT wazuiwa kuuliza maswali kwa wagombea ubunge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongela amezuia maswali kwa wagombea wa nafasi ya ubunge kundi la UWT.

Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)) leo Jumamosi Agosti 2, 2025 wanafanya mkutano wa kuwachagua wabunge kupitia kundi hilo.

Katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete, wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa umoja huo wagombea wanaendelea na kuomba kura kwa wajumbe na kwa sasa ni kundi la wawakilishi wa watu wenye ulemavu Zanzibar.

Wagombea wanaendelea kuomba kura kwa wajumbe huku ukumbi ukiwa umepambwa kwa mavazi ya UWT wakiwa kwenye hali ya utulivu wakiwasikiliza wagombea.

Chanzo: Mwananchi Digital
 
Back
Top Bottom