Wajumbe ni watu gani

Wajumbe ni watu gani

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
10,415
Reaction score
18,442
Katika watia nia wote haswa wa ubunge wote wanategemea mchujo kutoka Kwa wajumbe.
Sasa naomba kuuliza hao wajumbe ni watu gani ni mabaloziywa nyumba Kumi au ?
 
Dodoma Patajaa Wakati Wajumbe Wanafyeka Majina
 
Wajumbe wa ccm ni wawakilishi mbalimbali katika nyazifa mbalimbali za kichama katika wilaya,kata mpaka vijiji
 
Back
Top Bottom