Wajumbe ccm watishia kujiuzulu

Wajumbe ccm watishia kujiuzulu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,202
Reaction score
162,762
Wajumbe wa ccm mwenge mkoani Dar-es-salaam watishia kujiuzulu nafasi zao kisa mizengwe na rushwa kwenye uchaguzi.
Source:ITV habari za saa.
 
Wajumbe wa ccm mwenge mkoani Dar-es-salaam watishia kujiuzulu nafasi zao kisa mizengwe na rushwa kwenye uchaguzi.
Source:ITV habari za saa.


Wao waseme mgao haukuwafikia wasituletee mafyongo hapa
 
waondoke tu huko sio kwema hicho chama kimeshakufa huwezi kufanya kitu bila ya rushwa
 
yani wao wanatishia kuja*** sasa hivi wakati wenzao wameisha haraa kitambo. Teh! Amakweli hiki kimbunga "katrina"
 
Waache warumbane hao kwani vita vya panzi furaha ya kunguru.

Shardcole@Tabora1
 
walishapewa barua siku nyingi ya kuachia nafasi zao: source nape.
 
tumeshawambia wajiuzulu kabla rungu halijaeaangukia. source NAPE.
 
Utasikia hao ni miongoni mwa wale tunaotaka wajivue gamba katika mkakati wa chama kujivua gamba.
 
Tuache demokrasia ichukue mkondo wake, kwani kuondoka kwao wajumbe hao kunamaanisha kwamba hakuna demokrasia huko wanakotoka? Kwangu mimi demokrasia ni pamoja na mtu kuchagua chama anachokipenda kwa sera na mipango yake mizuri ya kuendeleza taifa hili, hongereni sana wazee wa mwenge mmetumia haki yenu ya kidemokrasia vizuri, hakuna haja ya kuona kuwa huko walikotoka ni kubaya au walikokwenda ndio kuzuri, utamu wa pipi mate yako na hali ya mdomo ulivyoamka siku hiyo.
 
Maombi na Funga ya Kamanda Lema yamepata kibali machoni pa Bwana Mungu wa Majeshi!

Sasa wanavurugana wenyewe kwa wenyewe!
 
Kweli asiyejua kufa na achungulie kaburi ...chi chi emu byebye.
 
Waondoke huko kuzimu na waje uzimani haraka sana kabla safina ..
 
Nguvu ya MAOMBI na KUFUNGA kwa Kamanda Lema bila unafiki sasa yageuka KIMBUNGA KATRINA na hata ikamzoa Andengenya kule A-Town; usipime!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom