Nkuruvi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 624
- 649
Sasa Mfumo Dume unashida gani? Mfumo huu ni muhimu sana, fikiria viungo vinavyo tengeneza mfumo huu, kama Kende na Uume vilivyo muhimu katika mwili wa mwanadamu. Msidharau mfumo huu jamani!!Mfumo dume una uhusiano mkubwa sana na ufisadi. Fuatilia ya Kenya, Tanzania na Nigeria. Tusipate woga wala hofu kuwashirikisha wanawake madaraka makubwa.