Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
- Thread starter
- #21
na sio waziri kuteuwa anaowataka.
Nafikiri tunaenda kuona awaumu za hawa Mawaziri Mamlaka yao yakipunguzwa au kuthibitiwa na ofisi ya mwenyemamlaka. Hao wanawake wateuliwe kwa merits na wawe vetted na sio uteuziwa kuzingatia UKADA. Mbona Rwanda wanaelekea kufanikiwa?