Wajumbe Baraza Kuu CHADEMA wawalipua Mbowe na Slaa

Status
Not open for further replies.
Msalani;

CHADEMA haifi na wala haitakuwa weakened kwa mbinu na mtindo dhaifu wa siasa za enzi za CUF na NCCR - MAGEUZI!!

Haya mawazo yenu finyu ndio yanendelea kuizika CHADEMA.

Matatizo ya CHADEMA ni yale yale miaka nenda rudi, ila kutokana na ulofa wa wanachadema wenyewe kutotaka kujirekebisha na kuifanya mioyo yao kuwa migumu, matatizo haya yaliyotajwa hapo hayarekebishwi na yanaendelea kujirudia rudia kila mara, na mbaya zaidi hawa wanywa maji ya bendera wa CHADEMA hawaoni kama ni tatizo katika ustawi wa chama chao.

Halafu mimi hata sikupati na sikuelewi kabisa kana kwamba na wewe ni miongoni mwa timu hii iliyofadhiriwa na CCM hasimu wa CHADEMA na hapo mnageuga kuwa wa washauri wa hasimu wenu!!...BTW,una maana ustawi wa CHADEMA unatengenezwa na kuandaliwa na CCM Lumumba?.....Hiki ni kituko cha mwaka
 
Wapuuzi hawa wa Tabora mpaka leo wameshindwa hata kutoa mbunge mmoja wa chadema wa kuchaguliwa hawana nafasi ya kupiga domo ili waweze kuishi.Watuambie ccm imewahonga kiasi gani?
Mkuu kwa nini wewe usiwe mpuuzi,upuuzi wa hawa watu uko wapi au kwa vile wamesema ukweli ndiyo wanaitwa wapuuzi?
 
Tatizo vijana wa lumumba ni hopless sped yote nikwenda kukusanya wajumbe wasiokua na manufaa kwa taifa nakuwakabizi tamko lililoandaliwa dar.

hahahaaaa... Sikuchuki, Nakudharau. Usiwemshabiki kiivyo wewe, mwenye busara, hutafakari kwanza kabla ya kujibu, ww umekaa kiubishani zaidi.

Chadema is Hopeless, maneno Yao hayaendani na matendo Yao.

Chadema ni kama dini, mnalainishwa kukubali mambo bila hata ushahidi, na ikitaka ushahidi, wanakubatiza Jina " MSALITI".
 
Msalani;

CHADEMA haifi na wala haitakuwa weakened kwa mbinu na mtindo dhaifu wa siasa za enzi za CUF na NCCR - MAGEUZI!!



Halafu mimi hata sikupati na sikuelewi kabisa kana kwamba na wewe ni miongoni mwa timu hii iliyofadhiriwa na CCM hasimu wa CHADEMA na hapo mnageuga kuwa wa washauri wa hasimu wenu!!...BTW,una maana ustawi wa CHADEMA unatengenezwa na kuandaliwa na CCM Lumumba?.....Hiki ni kituko cha mwaka
Utaelewa vipi na akili yako ya QT ndiyo imefika kikomo cha kuelewa.
 
Pangua hoja wacha kutumia akili za nanii iliyohalalishwa na Babu Majanga

nitapanguaje hoja ya mtu aliyefukuzwa uanachama siku nyingi

siwezi toa muda wangu kuchambua ujinga mlioandika wakati sign sheet kaandika mtu mmoja broo niko na Knowlege ya computer


angalia Tabora ya kwanz na Tabora ya kwenye Line ya pili angalia kwa second leve their firs T haow they look like au unataka niendelee kukuchambulia


acheni ujinga
 
Mtu kama Freeman Mbowe hakuna anachojua zaidi ya kutafuta pesa kwa njia za wizi wizi tu. Mumempa nyani alinde mabua.
 
Angalia tu mikoa waliyotoka, angalia na maendeleo ya kiuchumi katika mikoa hiyo, hakika hutashangaa kuambiwa hawa wamerubuniwa na maadui wa Chadema ili watoto wao waendelee kwenda chuooni. Wenye akili zao wangewauliza maswali mengi ya maana lakini kwa kuwa wamekutana na waandishi wa habari kina ndiyo mkuu basi wamefanikiwa kuharisha huo uharo. Wachache sana hawataelewa ninyi ni kundi la wasaliti lililopandikizwa na ccm.
 
nitapanguaje hoja ya mtu aliyefukuzwa uanachama siku nyingi

siwezi toa muda wangu kuchambua ujinga mlioandika wakati sign sheet kaandika mtu mmoja broo niko na Knowlege ya computer


angalia Tabora ya kwanz na Tabora ya kwenye Line ya pili angalia kwa second leve their firs T haow they look like au unataka niendelee kukuchambulia


acheni ujinga

Kwa maana unataka kutuaminisha hizo shutuma za Mbowe na Slaa si za kweli?? Kwamba ni uongo Mbowe alambi ruzuku ya chama kwa kisingizio cha kukikopesha chama?? Ni uongo katibu mkuu halipwi hizo hela?? Ni uongo chama hakina sent tano kwenye account?? Na mengine waliyotuhumu pia ni uongo?? Tusaidie ufafanuzi maana labda wewe uko jikoni na unajua mengi zaidi
 
we unahoji kama nani una uhusiano gani na CDM
Ungejibu kwanza hao ni wanachadema ama mlishawafukuza?? Madai yao yakuwa Baraza kuu lilipaswa kukaa mwezi Februar ni ya kweli ama uongo?? Hayo mabilioni ya ruzuku ni kweli chadema waliyapoke au uongo?? Na yalitumikaje?? Na kama waliyapokea je ni kweli account ya chama haina hata senti tano?? Na ni kweli Mbowe anakida chama fedha zisizo julikana idadi yake?? Na je wakati akikikopesha chama kikao gani kilikaa kuidhinisha?? Na kashajilipa shilingi ngapi na bado ngapi anakidai chama?? Ni hayo tu kwanza
 
Wajumbe wote wana mwandiko unaofanana? Chunguza hizo sahihi utajua ninachoimaanisha. Hizi taarifa za kupikwa tumezizoea kutoka kwa CCM na vibaraka wao. Huhitaji kuwa Profesa kuelewa jinsi hii taarifa ilivyopikwa. CCM mtahangaika sana na jinsi mnavyotaka kuigamamiza CHADEMA ndiyo hivyo mnazidi kujichafua na kuonesha jinsi mlivyo chama cha hovyo. Jibuni hoja kwa hoja, mnaweza kuwapata wajinga wachache vijijini, lakini njia hii haitawaokoa na anguko kuu 2015. Jiandaeni kufutika katika siasa za Tanzania October 2015.
 
Yaliyosemwa kwenye tamko kwa akili zako bila kutegemea za ile kitu aliyehalalisha Babu Padri Majanga yana-ukweli?? Embu pangua hoja sasa wacha kutumia siasa rahisi za kulalamika na za matusi

Sasa hapo kwenye hilo tamko kuna hoja gani yakujibu au kuna jipya gani zaidi yayale yale ya miaka yote ambayo mmekua mkiimba.
 
Utaelewa vipi na akili yako ya QT ndiyo imefika kikomo cha kuelewa.

Wewe ndiye zero mwisho kabisa!!...Na wewe si ni miongoni mwa wale mliopanga mikakati ya kwamba CHADEMA INGEKUFA KABLA YA 2013 ETI EEEH? Kwa nini mnahangaika na mfu? Ama kweli hii ndiyo akili ya Lumumba!!

Wenye akili ya QT ndiyo tunaowasumbua na hata kuweweseka nyambafu nyie CCM mpaka mtakuja na matamko kutoka kuzimu!!
 
Nadhani hapa hapaitajiki kujuwa mtu yuko kundi gani nadhani muhimu ni kuangalia maudhui au ujumbe ulioletwa nahao jamaa wanaojiita viongozi. Ukiangalia kwa undani kunabaadhi ya vitu vinamaana na kunabaadhi ya mambo nikukuza na mengine hakuna ukweli mfano vyama Havina ofisi vinafanya kazi kwenye flemu za maduka na viongozi huangaika kutafuta kodi huku kunaruzuku hili nilakweli ila bado siamini njia waliyotumia kama nisahihi yakutoa matamko kwenye vyombo vya habari wakati kunavikao ambavyo vingetatua matatizo haya hakika kama kweli niviongozi wangelazimisha kikao kiwepo nakutoa hoja Zao huko ndiyo kukijenga chama na sikuja kulalama kwenye vyombo vya habari
:bump:waseme mara ngapi kwenye vikao halali?wazungumze vingapi na wasione mabadiliko?
kama wapinzani Bungeni wanavyolalamika na sema serikali ya ccm inapuuza ushauri mzuri,vivi hivyo ndani ya kamatikuu ya cdm kuna maCCM wakiongozwa na mbowe+slaa ambao wanafanya mambo jinsi wanavyowaza wao kama serikali ya ccm:peep:
 
Mbona wale walio jiuzulu kwa mhemuko wa Zitto kuondolewa katika chama bado wanajihesabu viongozi na wamesaini kwa titles walizijivua?
 
Kwanini wabunge wametoka kwenye bunge la katiba?
Mbona bunge la katiba lilikuwa linajadili maoni ya wananchi halafu nyie mnatoka?
Hivi ni kwa nini lakini?
Msiporudi kwenye bunge la katiba huu waraka tutakuwa tunausoma kwenye vyombo vya habari kila siku.
 
Acha kuongea usolijua hv wajua mali zote za Mbowe na namna alivyozipata? Badala ya kujadili namna ya kuleta maendeleo Tz wadhaifu wa hoja mwamjadili mtu tena si mtawala wa nchi!

Mtu kama Freeman Mbowe hakuna anachojua zaidi ya kutafuta pesa kwa njia za wizi wizi tu. Mumempa nyani alinde mabua.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom