Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,128
Nyomi la Yanga Jana kama watu wanajielewa likijikusanya kuandama kudai haki lazima serikali isalimu Amri.Serikali ndo inachokitaka.
Yaani jamii ikiyovurugwa haiwezi kuwaza mambo ya msingi
Ndo maana nimesema kuwa CCM na watawala wanafaidika na uzwazwa wetu wananchiNyomi la Yanga Jana kama watu wanajielewa likijikusanya kuandama kudai haki lazima serikali isalimu Amri.
Ila Watanzania tuko bize kugombea kiatu apewe Mayele au Saido, akili zikiturudia bora hata mikataba ya Chief Mangungo.
Wanaofaidika ni watu na siyo serikali.Naamini Serikali inafaidika na huu ubadhirifu na ufisadi unaofanywa na hao viongozi wa CWT bila shaka.
Kivipi nakati juzi mlisema aliyefukuzwa ni mipango ya serikali aligomea teuzi ya Rais, kaja huyu kamkingia kifua pia mnasema serikali inawatetea sasa mpo upande upi?Naamini Serikali inafaidika na huu ubadhirifu na ufisadi unaofanywa na hao viongozi wa CWT bila shaka.
Lete ushahidi mezani ili nikuelewe, dhibitisha Kwa maandishi au ushahidi wa picha kuwa hawa ni serikali nasio Chama huruTaasisi yoyote ikishajiweka chini ya serikali haiwezi kuwa huru na itaendeshwa kwa influence ya serikali.
Serikali inataka aliyegomea uteuzi wa RAIS kuwa mkuu wa wilaya kutokutumbuliwa CWT au umerukia treni kwenye kichwa?Serikali ndo inachokitaka.
Yaani jamii ikiyovurugwa haiwezi kuwaza mambo ya msingi
Elezea anafaidikaje nje ya posho halali kama kiongozi wa CWT? Toa mifano ya rushwa na money laundering waliofanya hawa viongozi wa CWT hususani katibu mkuuWanaofaidika ni watu na siyo serikali.
Sisi ndio wenye serikali tumekataa, lakini watu wanaonufaika wanalazimisha, mpaka yule aliyejifanya kulia bungeni Jana mmeziona Rangi zake halisi baada ya kupewa rushwa, watu wa Tarime msifanye makosa kumrudisha bungeni huyu muhuni Mwita Waitara.
Niliwahi kuwa mwalimu nikakimbia nakujuta kusomea kazi uchwara yakutishwa na visisiemu viongozi vyakijiji!!Kivipi nakati juzi mlisema aliyefukuzwa ni mipango ya serikali aligomea teuzi ya Rais, kaja huyu kamkingia kifua pia mnasema serikali inawatetea sasa mpo upande upi...
I can't disapprove what you say but I need material fact, ukisema flani kauwa Kwa panga tunataka ulete panga likiwa na damu ya mtu, au video au picha yake akiwa anauwa. Huwez kusema mpwayungu village ni mwembamba ilihali hatujawahi kumwona kwahiyo tunatarajia ulete picha yake.Niliwahi kuwa mwalimu nikakimbia nakujuta kusomea kazi uchwara yakutishwa na visisiemu viongozi vyakijiji!!
CWT nichama cha hovyo kinawalia walimu pesa kihuni huku kikijifungamanisha na ssemu kujidai kitapoza migomo isitokee...
Hata hao CHAKUHAWATA viongozi wao walikuwa cwtNdo maana walimu wengi kwa sasa wanakimbilia chakuhawata makato 5000 tu kwa mwezi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mitifuano kwenye vyamaSerikali inataka aliyegomea uteuzi wa RAIS kuwa mkuu wa wilaya kutokutumbuliwa CWT au umerukia treni kwenye kichwa?
Acha kuwatetea hao CWT. Ushahidi wa nini ? Kimsingi hicho chama hakiwajali wanachama wake.I can't disapprove what you say but I need material fact, ukisema flani kauwa Kwa panga tunataka ulete panga likiwa na damu ya mtu, au video au picha yake akiwa anauwa...
Serikali inahusikaje juu ya mitifuano kwenye vyama?Mitifuano kwenye vyama
Kuomba ushahidi ni kuwatetea?, basi hakimu hana haja ya kuomba ushahidi Kwa public juu ya mtuhumiwa wa murder case maana ataonekana anamtetea defendantAcha kuwatetea hao CWT. Ushahidi wa nini ? Kimsingi hicho chama hakiwajali wanachama wake.
Blaza hapa sio mahakamani nawewe siyo hakimu hapa tunapiga filimbi Ili TAKUKURU na wenzao wakiona wafanye kazi Yao waliyosomea waache kuwa irresponsible!I can't disapprove what you say but I need material fact, ukisema flani kauwa Kwa panga tunataka ulete panga likiwa na damu ya mtu, au video au picha yake akiwa anauwa....