Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 913
- 923
Habari wasee. Leo nimejaribu kufuatilia kwa undani kuhusu watanzania kwa upande wa online contents, ingawa nilishafanya extensive research mwaka 2019, nikagundua watanzania wanapenda vitu vya kijinga na kiki ambazo zimetufanya tuwe hapa tulipo . Ukiingia TikTok ndio msiba mkubwa kwakweli , kizazi cha Gen Z ni cha hovyo kiasi kwamba mpaka huzuni, wanatumia social media vibaya bila manufaa zaidi ya kuuza utu wao bila kujua wanajiharibia future yao.
JamiiForums ya sasa ni tofauti kabisa na ya 2015, mwanzo nilikuwa nazurura JF kama guest kipindi hicho website si mzuri kama ya sasa lakini kulikuwa na madini sana ambayo ukiwa kama mtu mwenye kuona fursa unaweza ukaokota idea na ikabadilisha maisha yako na wengine. Kwa sasa nimekuwa nakimbilia sana jukwaa la TECH, lakini awali nilikuwa nakimbilia sana jukwaa la Biashara. Kwa sasa ni kama JF imevamiwa na Gez Z ambayo wanapost vitu ambavyo havina afya ni kama tuko TikTok, before JF ilijulikana kama jukwaa la wasomi na ukiingia kama guest unaona madini yaliyopo ila kwa sasa uwe mchimbaji sana ndio ubahatishe kuokota kinyume na hapo unakuwa mzururaji tu kama watu wa TikTok na Instagram.
Content Creator wazuri JF wameondoka kama The Bold, na wengine ambao walikuwa wanatoa madini ambayo yanabadilisha fikra zaidi na kufanya ufikiri vizuri kutokana na logic zilizopo kwenye contents. Uwandish wa The Bold ulikuwa wa akili kubwa sana kiasi kwamba ukisoma utajkuta fikra inabadlika kidogo , nilipenda sana contents za mshikaji. Kuna jamaa alikuwa anaandika contents za kivita nilishachat nae facebook nikamuuliza kulikon man mbona JF umelala mbele, alinijibu JF hawatoi chochote kwa waandishi wazuri akaamua aache kuandika.
Angalia hizi post hapo chini, inaonesha kwamba watanzia wanapenda UJINGA kuliko MAARIFA ambayo yaweza kusaidia ata TAIFA kwa jumla. SIkumbuki zamani unaweza kuta vitu kama hivi, kwa sasa contents kama hizi kwa JF ndio mpango mzima.
Labda nitoe ushauri kwa JF owner, afikilie kuweka PREMIUM CONTENTS ili wanapenda MAARIFA vs Kiki wajichuje, iwe jukwaa la kutoa ajira na kusaidia watu ku acquire new skills na kuingiza kipato .