Wajue wanawake wasiojitambua

Wajue wanawake wasiojitambua

Mwanaume m bovu ni yule ambae ana kazi yaku criticize wanawake nakuongea shamelessly akijiona yeye ndo yupo sawa..
Sisi wote nibinadam kila moja na mtizamo wake it's better to keep that to yourself kwasabu aibadili kitu zaidi zaidi utaonekana umekosa kazi ya kufanya
Aisee 👊👊👊
 
Kutaka mwanaume mwenye gar wakat hata vitanda hawana ni kwa sababu wanaume wapumbavu wanaoa warembo na sio wake.matirio, ndomana wakijijua warembo wamesoma wanaamua tu kuwinda wenye magar na kaz nzur na wanawapata sana, mwisho mnaishia kupata watoto kina preshaz na prince wasio na adabu mana mama zao wako ni viaz.
 
Mwanaume m bovu ni yule ambae ana kazi yaku criticize wanawake nakuongea shamelessly akijiona yeye ndo yupo sawa..
Sisi wote nibinadam kila moja na mtizamo wake it's better to keep that to yourself kwasabu aibadili kitu zaidi zaidi utaonekana umekosa kazi ya kufanya
Nasikia kelele huku , VIP kuna MTU kaumia ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume m bovu ni yule ambae ana kazi yaku criticize wanawake nakuongea shamelessly akijiona yeye ndo yupo sawa..
Sisi wote nibinadam kila moja na mtizamo wake it's better to keep that to yourself kwasabu aibadili kitu zaidi zaidi utaonekana umekosa kazi ya kufanya
Jiwe gizani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAJUE WANAWAKE WASIOJITAMBUA

1. Anaevaa mini-skirt halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba magoti.

2. Anayetoa mimba kisha analala na midoli.

3. Anaye-date na mume wa mtu miaka nenda rudi, na kuwakataa wanaotaka kumuoa!

4. Anayeweka nywele bandia, kucha bandia, kope bandia akiambiwa amependeza anasema ahsante.

5. Mwanamke ambaye hamiliki hata kitanda lakini anataka mwanaume mwenye gari.

6. Basi kiboko kabisa ni mwanamke anayevaa hali ya kuwa bado yupo uchi huku akisema anaenda na wakati.

7. Kiongozi wa wanawake wasiojitambua ni ajifananishaye na mwanaume kuanzia mavazi mpaka baadhi ya matendo, huku akijua kufanya hivyo ni kulaaniwa na Allah lakini yupo tayari kupata lana za Allah ili aende na wakati.

KIFO KIPO KARIBU KULIKO UKARIBU WA NGOZI NA NYAMA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanaume wasiojielewa wapoje ?
 
......kama ni hivo bas nusu ya robo ya wanawake wa jf hawajitambui........nishapita nao weng hawajitambui.......nitaweka orodha yao..........
 
Acha generalization za kijinga eti umepita nao nusu na robo . humu ndani kuna baadhi ya watu wachache wanapenda kusakama wanawake as if hawana shughuli ya kufanya.
......kama ni hivo bas nusu ya robo ya wanawake wa jf hawajitambui........nishapita nao weng hawajitambui.......nitaweka orodha yao..........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom