Wewe ndio kilaza wa mwisho kwenye dunia hii sasa huyu mzee Ponda kafanya kosa gani hata umtaje hapa Mwenyezi Mungu akulani leo usi inuke hapo ulipoka kilaza mkubwa wewe
Hajamtaja kuwa amekosa kitu, amemtaja kama shujaa wake!! Kuna mtuhumiwa yeyote ambaye wewe unamfahamu aliyewahi kusomewa mashtaka na mahakama mbili zikizo mikoa tofauti ndani ya siku moja? Akasafirishwa na helkopta ya serikali???!
Wewe ndio kilaza wa mwisho kwenye dunia hii sasa huyu mzee Ponda kafanya kosa gani hata umtaje hapa Mwenyezi Mungu akulani leo usi inuke hapo ulipoka kilaza mkubwa wewe