Wajue jini mahaba na jini mapesa

bestmale

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
3,068
1,795
nawasalimia wakuuu ... Mwenyezi Mungu ndiye aliye umba mbingu na ardhi na vilivyomo vyote ..ameumba binadam na majini ili wamuabudu .... kati ya hao wanao mkosea Mwenyezib Mungu Binadam na majini ote huwa wanaansi........ninachotaka kuwajulisha nikuwa kwamba Hakuna wmawasiliano ya majini na binadam ao majini ote wanaotafuta binaadam na kuwaingia ni majini wenye madhambi majini walio mkosea Mungu Jini anaye Muabudu Mwenyezi Mungu hamsogeleye binaadam hata kidogo .. ndio mana utawaona dada zetu wanaopenda pesa ao wamemumbwa na jini mipesa na hao wanaume wanaopenda ngono wameingiliwa na jini wa ngono aka jini mahaba ... Kuna watu wanafanya vitu ambavyo sio ata kwa akili zao bali wametekwa kihisia na ao majini wenye madhambi ambao maikazi mwao ni kwa binadam wenye midhambi ... Muombe Mwenyezi Mungu atulinde na binadam na majini wapotevu pia atutenge mbali na shetuani aliye laniwa... Amin..
 
nawasalimia wakuuu ... Mwenyezi Mungu ndiye aliye umba mbingu na ardhi na vilivyomo vyote ..ameumba binadam na majini ili wamuabudu .... kati ya hao wanao mkosea Mwenyezi Mungu Binadam na majini ote huwa wanaansi........ninachotaka kuwajulisha nikuwa kwamba Hakuna mawasiliano kati ya majini na binadam ao majini ote wanaotafuta binaadam na kuwaingia ni majini wenye madhambi majini walio mkosea Mungu Jini anaye Muabudu Mwenyezi Mungu hamsogeleye binaadam hata kidogo .. ndio mana utawaona dada zetu wanaopenda pesa ao wamekumbwa na jini mipesa na hao wanaume wanaopenda ngono wameingiliwa na jini ngono aka jini mahaba ... Kuna watu wanafanya vitu ambavyo sio ata kwa akili zao bali wametekwa kihisia na ao majini wenye midhambi ambao maikazi mwao ni kwa binadam wenye midhambi ... Muombe Mwenyezi Mungu atulinde na binadam na majini wapotevu pia atutenge mbali na shetuani aliye laniwa... Amin..
 
nawasalimia wakuuu ... Mwenyezi Mungu ndiye aliye umba mbingu na ardhi na vilivyomo vyote ..ameumba binadam na majini ili wamuabudu .... kati ya hao wanao mkosea Mwenyezib Mungu Binadam na majini ote huwa wanaansi........ninachotaka kuwajulisha nikuwa kwamba Hakuna wmawasiliano ya majini na binadam ao majini ote wanaotafuta binaadam na kuwaingia ni majini wenye madhambi majini walio mkosea Mungu Jini anaye Muabudu Mwenyezi Mungu hamsogeleye binaadam hata kidogo .. ndio mana utawaona dada zetu wanaopenda pesa ao wamemumbwa na jini mipesa na hao wanaume wanaopenda ngono wameingiliwa na jini wa ngono aka jini mahaba ... Kuna watu wanafanya vitu ambavyo sio ata kwa akili zao bali wametekwa kihisia na ao majini wenye madhambi ambao maikazi mwao ni kwa binadam wenye midhambi ... Muombe Mwenyezi Mungu atulinde na binadam na majini wapotevu pia atutenge mbali na shetuani aliye laniwa... Amin..
Mpokee Yesu uokoke ili Mungu akupe macho ya ndani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom