Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,031
Huyu jamaa anataka kuniaminisha na jinsi nilivokua naamin ila ikaja akanitolea iman hiyo. Nilijua kuwa jini mahaba ni wale wapenda ngono kwenda mbele kumbe ni kinyume chake, kumbe jini mahaba likimwingia mtu anakua wake hapendi ngono wala hafurahii ngono na watu wengine