Wajue Baadhi Ya Warembo wa JF

beautiful!!!!!! Inapendeza kutoka hasa wakati huu wa pasaka.
 
..mimama ya hivi uikute kwenye ugomvi,utapenda hayaachi kuvua nguo..teh..tehheh..
 


Sijui na mimi nikae miaka mingapi hapa JF kwa hizo Bia na kuku niweze kunenepa hivyo
akitokea Manyama (Sungura tu wala sio Simba) sijui watachagua kuogelea au kukimbia alikotokea mnyama
 
Duuh nyote plus size...punguzeni bia na kitimoto
 
Hahaaaa yaani nimecheka kweli leo....dah asante sana wewe mleta uzi na mze wangu wa ukweli willy mutunga kwa ku piba mambata ya mgongo raila
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…