The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,110
- 21,980
Ukishakuwa huna mwelekeo wa maisha bora tu ukimbilie ccmGT.
Naanza na fans wa CCM
1. Mafisadi/Wezi
2. Mama ntilie.
3. Boda boda na machinga.
4. Wakulima/wafugaji wa kujikimu.
5. Wasiokuwa na kazi maalumu (wazururaji)
Audience wa Chadema
1..Wasomii.
2.Wafanyakazi..
That is Why Chadema wanaonekana wako smart kwa kila.kitu kuwazidi CCM waporipori na usishangae mikutano ya CCM kujaa nchi hiii ina wajinga wengi sana
Hakuna anayeweza kushinda uchaguzi bila support ya kina Pangupakavutiamchuzi.GT.
Naanza na fans wa CCM
1. Mafisadi/Wezi
2. Mama ntilie.
3. Boda boda na machinga.
4. Wakulima/wafugaji wa kujikimu.
5. Wasiokuwa na kazi maalumu (wazururaji)
Audience wa Chadema
1..Wasomii.
2.Wafanyakazi..
That is Why Chadema wanaonekana wako smart kwa kila.kitu kuwazidi CCM waporipori na usishangae mikutano ya CCM kujaa nchi hiii ina wajinga wengi sana
Umeambiwa wanahitaji kura zako? Hao makapuku wanajidanganya tuHakuna anayeweza kushinda uchaguzi bila support ya kina Pangupakavutiamchuzi.
At least wapinzani wanahitaji support yao! Elitism haitawafikisha wapinzani mahali popote!Umeambiwa wanahitaji kura zako? Hao makapuku wanajidanganya tu
Wasanii wa Bongo movies na Bongo flavaGT.
Naanza na fans wa CCM
1. Mafisadi/Wezi
2. Mama ntilie.
3. Boda boda na machinga.
4. Wakulima/wafugaji wa kujikimu.
5. Wasiokuwa na kazi maalumu (wazururaji)
Audience wa Chadema
1..Wasomii.
2.Wafanyakazi..
That is Why Chadema wanaonekana wako smart kwa kila.kitu kuwazidi CCM waporipori na usishangae mikutano ya CCM kujaa nchi hiii ina wajinga wengi sana
Wapiga kura sura zimechokaa kama wametua mzigo wa maweUmeambiwa wanahitaji kura zako? Hao makapuku wanajidanganya tu
Hao wapo kundi namba 5. Maana wengi wamefulia wamebaki kuwa machawa tuWasanii wa Bongo movies na Bongo flava
Usicho eleza kwenye mada yako, na pengine ingeongezewa uzito kidogo, ni sababu zinazo wafanya hao watu kwenye makundi hayo wawe huko; hasa upande wa Samia na Genge lake.Hao wapo kundi namba 5. Maana wengi wamefulia wamebaki kuwa machawa tu
Siku moja ukiona natumia maneno yako haya machache kwenye maandisi yangu (na nitakutambua nikifanya hivyo); fahamu tu kwamba ni maneno mazito sana haya.Ukishakuwa huna mwelekeo wa maisha bora tu ukimbilie ccm
Kuna sehemu nimepita jana,walikua wanamsubiri nchimbi afike,basi wakawa wamepikiwa wali maharage huku wamewekewa mapipa ya pombe za kienyeji wanywe.vijana wakawa wanajinywea mipombe ya kienyeji bila kuwaza kesho yao wala.Hata hao bodaboda na mama ntilie washaamka saivi...haiko nao teba
Maprofesa na madaktari waliojaa CCM ni kundi lipi maana wamejaa na kufurika.Na ndio wasomi wakubwaGT.
Naanza na fans wa CCM
1. Mafisadi/Wezi
2. Mama ntilie
3. Boda boda na machinga
4. Wakulima/wafugaji wa kujikimu
5. Wasiokuwa na kazi maalumu (wazururaji)
Audience wa Chadema
1. Wasomi
2. Wafanyakazi
That is Why Chadema wanaonekana wako smart kwa kila kitu kuwazidi CCM waporipori na usishangae mikutano ya CCM kujaa, nchi hiii ina wajinga wengi sana.