GE2025 Wajue Audience wa CCM na Chadema

GE2025 Wajue Audience wa CCM na Chadema

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,563
Reaction score
20,363
GT.
Naanza na fans wa CCM
1. Mafisadi/Wezi
2. Mama ntilie
3. Boda boda na machinga
4. Wakulima/wafugaji wa kujikimu
5. Wasiokuwa na kazi maalumu (wazururaji)

Audience wa Chadema
1. Wasomi
2. Wafanyakazi

That is Why Chadema wanaonekana wako smart kwa kila kitu kuwazidi CCM waporipori na usishangae mikutano ya CCM kujaa, nchi hiii ina wajinga wengi sana.
 
GT.
Naanza na fans wa CCM
1. Mafisadi/Wezi
2. Mama ntilie.
3. Boda boda na machinga.
4. Wakulima/wafugaji wa kujikimu.
5. Wasiokuwa na kazi maalumu (wazururaji)

Audience wa Chadema
1..Wasomii.
2.Wafanyakazi..

That is Why Chadema wanaonekana wako smart kwa kila.kitu kuwazidi CCM waporipori na usishangae mikutano ya CCM kujaa nchi hiii ina wajinga wengi sana
Ukishakuwa huna mwelekeo wa maisha bora tu ukimbilie ccm
 
GT.
Naanza na fans wa CCM
1. Mafisadi/Wezi
2. Mama ntilie.
3. Boda boda na machinga.
4. Wakulima/wafugaji wa kujikimu.
5. Wasiokuwa na kazi maalumu (wazururaji)

Audience wa Chadema
1..Wasomii.
2.Wafanyakazi..

That is Why Chadema wanaonekana wako smart kwa kila.kitu kuwazidi CCM waporipori na usishangae mikutano ya CCM kujaa nchi hiii ina wajinga wengi sana
Hakuna anayeweza kushinda uchaguzi bila support ya kina Pangupakavutiamchuzi.
 
GT.
Naanza na fans wa CCM
1. Mafisadi/Wezi
2. Mama ntilie.
3. Boda boda na machinga.
4. Wakulima/wafugaji wa kujikimu.
5. Wasiokuwa na kazi maalumu (wazururaji)

Audience wa Chadema
1..Wasomii.
2.Wafanyakazi..

That is Why Chadema wanaonekana wako smart kwa kila.kitu kuwazidi CCM waporipori na usishangae mikutano ya CCM kujaa nchi hiii ina wajinga wengi sana
Wasanii wa Bongo movies na Bongo flava
 
Makundi yote uliyoyaweka yapo kwa vyama vyote wanazidiana idadi tu ya wafuasi wa makundi hayo
 
Pamoja na ukweli wake; sasa sijui mada ya namna hii itatupeleka wapi wakati 'critical' kama huu uliopo sasa!

Hao "wajinga" ndio wanaofanya kila kitu kuhakikisha hali mbovu inaendelea kuwepo miaka mingine mitano bila ya pingamizi lolote!

Watr "smart' (wasomi) ni akina nani hasa? hao wanaoburuzwa na wapumbavu? Samia anamburuza Kabuti Kalamaganda; anawaburuza akina Mkumbo Kitita na takataka zotte zilizoko huko; au wewe huoni?

Kuwa "smart" ni kufanyaje?
Hakuhusu kukataa manyanyaso ya hao wapumbavu kwa kutumia u'smart' wao?

Lakini naomba usinielewe visivyo; sikatai mgawanyo wa makundi kama ulivyo uainisha; tatizo langu ni kuwa huu u'smart' wetu umekuwa hauna faida kwa taifa letu!

Walimu ni kundi gani, wasomi? Wafanya kazi serikalini na hata sekta binafsi wapo kundi gani, la watu 'smart'?

Kama nilivyo sema hapo mwanzo, mada za namna hii hazitufikishi popote; kwanza ni yale yale ya siku zote; sasa tuna re-cycle yale yale tuliyo kwisha yajuwa toka siku nyingi

Vipi, mbona hatufanyi juhudi za kuwasaidia hao waTanzania wenzetu na wao wajue kwamba wao sasa ndio wanaotumiwa kuendelea kulidhalilisha taifa hili. Yaani kazi hii ni ngumu sana kwa watu 'SMART' kama tunavyo jitambulisha?
 
Hao wapo kundi namba 5. Maana wengi wamefulia wamebaki kuwa machawa tu
Usicho eleza kwenye mada yako, na pengine ingeongezewa uzito kidogo, ni sababu zinazo wafanya hao watu kwenye makundi hayo wawe huko; hasa upande wa Samia na Genge lake.
Ukiondoa motisha hizo zinazo washikilia huko, watu hao hao utaanza kuwaweka kwenye kundi la "smart"; jambo ambalo ni upungufu mkubwa wa mada, unapofanya mgawanyo wa aina hiyo uliyo tumia.
 
Ukishakuwa huna mwelekeo wa maisha bora tu ukimbilie ccm
Siku moja ukiona natumia maneno yako haya machache kwenye maandisi yangu (na nitakutambua nikifanya hivyo); fahamu tu kwamba ni maneno mazito sana haya.
CCM (kiuhalisia ni Samia na Genge lake), wanajigamba kuwa na wanachama milioni 13. Nakuhakikishia, katika hali ya leo, watu wote hao hawapo mbali na ukweli wa maneno uliyo yatumia hapa.

Woooote, hadi kufikia kwenye akina Samia mwenyewe, wapo huko kwa sababu ya hayo uliyo yaandika hapo.
 
Huu mtazamo wa kijinga utawafanya CHADEMA kuendelea kuwa chama cha upinzani milele. Ubaguzi wa kipuuzi sana huu. Hao wasomi uliowataja ndo nyie keyboard warriors wa mitandaoni hamna madhara yoyote. Kudharau makundi mengine ya kijamii ni ushetani usio na sababu. Kuna mama ntilie, bodaboda na wakulima wengi tu ambao ni wasomi wa vyuo vikuu. Kuendelea kudhani kuwa hao watu ni wajinga kisa hawasapoti upuuzi wa CHADEMA itaendelea kuwatafuna.
 
Hata hao bodaboda na mama ntilie washaamka saivi...haiko nao teba
Kuna sehemu nimepita jana,walikua wanamsubiri nchimbi afike,basi wakawa wamepikiwa wali maharage huku wamewekewa mapipa ya pombe za kienyeji wanywe.vijana wakawa wanajinywea mipombe ya kienyeji bila kuwaza kesho yao wala.
 
GT.
Naanza na fans wa CCM
1. Mafisadi/Wezi
2. Mama ntilie
3. Boda boda na machinga
4. Wakulima/wafugaji wa kujikimu
5. Wasiokuwa na kazi maalumu (wazururaji)

Audience wa Chadema
1. Wasomi
2. Wafanyakazi

That is Why Chadema wanaonekana wako smart kwa kila kitu kuwazidi CCM waporipori na usishangae mikutano ya CCM kujaa, nchi hiii ina wajinga wengi sana.
Maprofesa na madaktari waliojaa CCM ni kundi lipi maana wamejaa na kufurika.Na ndio wasomi wakubwa
 
MACHNGA BODABODA WAPO KWA MASLAHI.MASLAHI YENYEWE YA KIJINGA SIKU YA KAMPEN KUPEWA HELA YA MAFUTA KUITWA KWENYE VIKAO NAKUPEWA 5000 NA KUHONGWA POMBE
 
Back
Top Bottom