Haya ya kwako sio mawazo ni uvundoKila mtu na mawazo yake
Hujaweka namba ya simu.Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha watanzania ni dhahiri anajivunia uwepo wa viongozi hawa katika utawala wake ambai ni
1. Dr. Tulia Ackson, Spika wa Bunge JMT na Rais wa IPU
2. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama
3. na Paul Makonda- Chuma Mwenezi wa Chama na Mzee wa kujitoa muhanga asiyeogopa kitu
Hawa ni key factor kuelekea uchaguzi Mkuu 2025
Japo wengi wanafanya kazi nzuri akiwemo Albert Chalamila, Mavunde, Mchengerwa, Bashungwa na Bashe lakini hao hapo juu ni moja ya viongozi ambao Rais Samia anajivunua sana na wanamfanya alale usingizi mnono dhidi ya wahafidhina wa kusaka urais 2025
#2025 ni Yeye Dr. Samia Suluhu Hassan
Dr Tulia Mwansasu 2030-3040Tanganyika haiwezi kuongozwa tena na mwanamke kuanzia 2025, mapimbi wote wasioamini tusubiri muda utaongea
Maccm ujinga umewajaa2025 watafanya nini ambacho kimewashinda kwa miaka zaidi ya 60?
Baba wa Taifa alitangaza maadui wakubwa watatu wa Taifa letu.
1. Umasikini.
2. Ujinga.
3. Maradhi.
Jk NYERERE.
Ilitakiwa hao akari wa umbrella ulitakiwa ututajie mawazi wake ambao ndio watendaji wake tuwajadilo hapa lakini sio hao watu wa chama na mkuu wa muhimili mwingineRais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha Watanzania ni dhahiri anajivunia uwepo wa viongozi hawa katika utawala wake ambai ni:
1. Dkt. Tulia Ackson, Spika wa Bunge JMT na Rais wa IPU.
2. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama.
3. Na Paul Makonda- Chuma Mwenezi wa Chama na Mzee wa kujitoa muhanga asiyeogopa kitu
Hawa ni key factor kuelekea uchaguzi Mkuu 2025
Japo wengi wanafanya kazi nzuri akiwemo Albert Chalamila, Mavunde, Mchengerwa, Bashungwa na Bashe lakini hao hapo juu ni moja ya viongozi ambao Rais Samia anajivunua sana na wanamfanya alale usingizi mnono dhidi ya wahafidhina wa kusaka urais 2025.
2025 ni Yeye Dkt. Samia Suluhu Hassan
TulipigwaaaMama yupo kwny Kamati kuu ya tangu mwaka 2000
lakini mwenyewe kwa kauli yake anakwambia mkiingia Kamati kuu Wajumbe kwny maamuzi kama ya kuteua Mgombea Urais basi wote mnaishia kwny kichumba kidogo mnakula biskuti na juice na Soga za hapa na pale na kuna Vyuma viwili vitatu ndio vinaenda kujifungia kuchakata maamuzi
then mnatoka haooooo mnapiga makofi mbele ya Kamera kama kuna mnachojua kumbe wote mnatangaziwa matokea mkiwa wote nje
ukipewa fursa ya kusalimia Wajumbe unaanza blaa blaa sijui tulijadili sana majina ya kuteua na tumeona huyu ana sifa kede kede kuliko wooote
ni kama wale Jamaa zetu walikusanywa Bahari beach Hotel wakapigwa suprise ya jina la Mgombea Urais toka cheusi cheupe
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app