Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,041
- 92,814
Kama kuna aliyekuelewa hapo ☝🏾basi ni great thinker wa kuhesabu, yaani kati ya 50ppl ni mmoja mimi nikiwa mmojawapo.Angetoka Magharibi kwenda Mashariki, aisee pangechimbika kwa sifa za hapa na pale.
Mbususu kumbe ni tamu sana.Kama kuna aliyekuelewa hapo [emoji1489]basi ni great thinker wa kuhesabu, yaani kati ya 50ppl ni mmoja mimi nikiwa mmojawapo.
Nini hakijaeleweka hapa magharibi ni Dini ya kikristo na mashariki ni Uislamu hivyo basiKama kuna aliyekuelewa hapo [emoji1489]basi ni great thinker wa kuhesabu, yaani kati ya 50ppl ni mmoja mimi nikiwa mmojawapo.
Kilichomfanya afanye hivyo....ni UTELEZIJE WAJUA SABABU YA HARMONIZE KUJIITA "ROBERT"?
Anaandika, Robert Heriel.
Kwanza nimpongeze Msanii Harmonize Kwa kujifaraguza kubadilisha jina Kwa sababu ya Mapenzi aliyonayo Kwa Kajala, na kujiita "Robert" jina ambalo linamaana kubwa Sana hasa Kwa upande wa mtu anayetaka kuwa mkubwa, mashuhuri na mwenye ushawishi. Sitazungumzia kuhusu kuwa anampenda Kajala au Laah! Hilo ni juu Yao.
Robert ni jina kubwa na maarufu ambalo asili yake ni huko Ujerumani ambalo ni "Hrōþiberhtaz" ambalo ni muunganiko wa maneno mawili(compound word) *Hrōþi- kingereza "fame" Kiswahili "umashuhuri, utukufu, Uheshimiwa, ukubwa and *berhta- kingereza ni bright" Kiswahili ni "mwangaza, mng'ao, kung'aa ambalo ndio linazaa neno (Hrōþiberhtaz) "Bright Fame" Mng'ao wa utukufu, Mtu mashuhuri mwenye kung'aa Kama Nyota.
Robert ni moja ya majina makongwe yaliyoanza kutumika zamani Karne ya 14 na kuenea Maeneo ya Uingereza kisha Ulaya yote.
Watu mashuhuri na familia kubwa walipenda kuwaita watoto jina hili, huku wakifupisha Kama Rob, Robbie, Roby n.k Kwa wanawake huitwa Roberta,
Nickname ya Robert ambayo ni Mashuhuri Duniani ni "BOB"
Harmonize hajafanya Kwa bahati mbaya kujiita jina hilo, bali maana ya jina hilo ndilo lililomshawishi kujiita hata Kama ni Kwa utani.
Robert; Mtu mashuhuri, Star [emoji93], mwenye ushawishi, mwenye utukufu , asiyeweza kuzuiwa asing'ae
Karibu Sana Harmonize kwenye Jumuiya ya Bob Duniani.
Ni Yule Bob wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Tungeambiwa mafanikio ya Royal Tour.Nini hakijaeleweka hapa magharibi ni Dini ya kikristo na mashariki ni Uislamu hivyo basi
Kama angekuwa mkiristo akabadili Dini kuwa muislamu mji usingekalika
Ukawe great thinker kwa Jambo lililo uchi hili, mbona hajhitaji nguvu kujua alichozungumzia.. Kuhama dini, kutoka Ukristo kwenda uislam ingekuwa kelele, kahama huyu katoka huku kaenda kule ni kimya tu.Kama kuna aliyekuelewa hapo ☝🏾basi ni great thinker wa kuhesabu, yaani kati ya 50ppl ni mmoja mimi nikiwa mmojawapo.
Kilichomfanya afanye hivyo....ni UTELEZI
Kilichomfanya kujiita Robert ni mbususu tu hamna kingine....
Imenibidi ni like ili na mimi nionekane ni great thinker![emoji23][emoji23]Kama kuna aliyekuelewa hapo [emoji1489]basi ni great thinker wa kuhesabu, yaani kati ya 50ppl ni mmoja mimi nikiwa mmojawapo.
Hizo nyingine ni bla bla tu bwana, mbususu hii jamani mara shwaaa na wewe sio Robert tena ni Rajabu Heriel🤣🤣
Acha zako!
Usitake kusema nilichoandika kipo OP na kilichotokea Kwa harmonize na kajala