Wajinga,watu wa vijijini ndo wanamkubali Magufuli

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Husika na mada tajwa
Nipo maeneo flani hapa naangalia taarifa ya Habari Azam Two
Kuna habari inasema "Magufuli Bado Anakubalika" hii ni ripoti ya Twaweza
Kuna mchambuzi hapa kasema wajinga(wenye elimu duni) na watu wa vijijini ndio wanaoneka kumkubali Magufuli
Mwandishi akamuuliza je utafiti huu ungefanyika hivi karibu hali ingekuaje? Mwandishi kajibu "kukubaliana Kwa Magufuli kungeongezeka kutokana na suala la Makinikia"
Tukumbuke utafiti huu wa Twaweza umefanyika kipindi cha mwezi March na April

Maoni yangu
Wanaoendelea kumkubali Magufuli Bado ni wale wajinga waliokosa elimu na maisha yao ni mabovu kupindukia
Rais Magufuli kazuia ajira ambazo ni tegemeo Kwa watoto wa kimaskini hasa walimu na manesi kazingua kuwaajiri
Kazuia Bunge Live ili tusiwafuatilie wawakilishi wetu
Kabana Uhuru wa kutoa maoni ukitoa maoni ya kumpinga unakamatwa na kutupwa jela au faini ndefu
Hali ya maisha imekua ngumu zaidi
SO TWAWEZA ACHENI KUIFAGILIA SERIKALI HII WAKATI MNAJUA WANANCHI WA KAWAIDA TUNAVYOTESEKA baada ya hii serikali kuingia madarakani
 
ce3178c73812ccd1447e3d8454482f04.jpg
 
Kama wajinga wamekuzidi nguvu na chaguo lao ndilo likapita, una uhalali gani wa kuendelea kuamini kuwa wewe unajua kuwaliko?

Mliosoma na mnaojua ilibidi muwe na nguvu ya ushawishi kwa uwaitao wajinga, lakini km umeshindawa, ni wazi kuwa wewe na wenzio siyo tu ni wajinga bali wapumbavu.
 
Naona hiyo sigara kali yakuletea madhara raia, ebu iache halafu urudi ukiwa sober..
 
Kama wajinga wamekuzidi nguvu na chaguo lao ndilo likapita, una uhalali gani wa kuendelea kuamini kuwa wewe unajua kuwaliko?

Mliosoma na mnaojua ilibidi muwe na nguvu ya ushawishi kwa uwaitao wajinga, lakini km umeshindawa, ni wazi kuwa wewe na wenzio siyo tu ni wajinga bali wapumbavu.
Ushasema ni wajinga hata wewe comment yako unaonekana ni mjinga,siwezi kubishana na mjinga kama wewe Ila unaonekana mjinga zaidi na mfia chama
 
Husika na mada tajwa
Nipo maeneo flani hapa naangalia taarifa ya Habari Azam Two
Kuna habari inasema "Magufuli Bado Anakubalika" hii ni ripoti ya Twaweza
Kuna mchambuzi hapa kasema wajinga(wenye elimu duni) na watu wa vijijini ndio wanaoneka kumkubali Magufuli
Mwandishi akamuuliza je utafiti huu ungefanyika hivi karibu hali ingekuaje? Mwandishi kajibu "kukubaliana Kwa Magufuli kungeongezeka kutokana na suala la Makinikia"
Tukumbuke utafiti huu wa Twaweza umefanyika kipindi cha mwezi March na April

Maoni yangu
Wanaoendelea kumkubali Magufuli Bado ni wale wajinga waliokosa elimu na maisha yao ni mabovu kupindukia
Rais Magufuli kazuia ajira ambazo ni tegemeo Kwa watoto wa kimaskini hasa walimu na manesi kazingua kuwaajiri
Kazuia Bunge Live ili tusiwafuatilie wawakilishi wetu
Kabana Uhuru wa kutoa maoni ukitoa maoni ya kumpinga unakamatwa na kutupwa jela au faini ndefu
Hali ya maisha imekua ngumu zaidi
SO TWAWEZA ACHENI KUIFAGILIA SERIKALI HII WAKATI MNAJUA WANANCHI WA KAWAIDA TUNAVYOTESEKA baada ya hii serikali kuingia madarakani

NI WAPUMBAVU TU KATIKA NCHI HII NDIYO WANAOMKATAA MAGUFULI
 
Ukitaka kujua Magufuli mtaji wake ni watu wajinga fuatilia ile ripoti ya pili alivyowahamasiha wananchi wajinga wamsikilize kwenye vibanda vya TV halafu kesho yake akawageuka. Na bado majitu yanashangilia Kama mazuzu vile.
 
Ushasema ni wajinga hata wewe comment yako unaonekana ni mjinga,siwezi kubishana na mjinga kama wewe Ila unaonekana mjinga zaidi na mfia chama
Wachache wenye maarifa ya kweli hawawezi kuzidiwa na wengi wajinga.

Akili kubwa kawaida ndiyo hufanya maamuzi, amini kuwa wewe ni mpumbavu kwa kukubali mawazo ya akili ndogo kukutawala.Hauna ushahidi mwingine kuthibitisha ukuu ya akili yako
 
Hata Yesu alipendwa na masikini na wachungaji
Tafadhali sana usimfananishe aliyejuu na wezi wasiojielewa na vibaraka Wa wazungu wanaogawa rasilimali zetu Kama naniliu ya nanilii...
chama kinategemea wajinga,maskini na watu wa vijijini wasojua wanavyodhulumiwa!! Wasomi,matajiri na watu wamjini wenye taarifa hawataki ujinga
 
Ila mi wasiwasi wangu awa watu wakilimanjaro na kaskazini wakipewa ii nchi aseeh mi nadhan kutatokea vita ya ukabila sana mi nawasiwasi...mpaka panya wa shimon wa uko kwako wataamshwa,..
 
Back
Top Bottom