Suphian Juma
Senior Member
- Apr 2, 2019
- 134
- 551
WAJERUMANI WALIRUDISHE FUVU LA LITI SINGIDA.
Sijawahi kusikia Rais wa Ujerumani amekuja kwetu Tanzania, hii ndiyo mara ya kwanza. Shikamoo Rais Dkt Samia.
Rais Dkt Frank-Walter Steinmeier atafanya ziara ya Siku 3 kuanzia Octoba 30 hadi Novemba 1, 2023, ambapo pamoja na mambo mengine atawatembea wahanga wa Vita vya Maji mkoani Songea.
Singida tuna Shujaa wetu Malikia "Liti" aliyekuwa na uwezo wa kuamrisha mdudu "nyuki" kuyashambulia majeshi ya Wakoloni Wajerumani; aliuawa, kichwa chake hadi sasa kipo Ujerumani, hii ni fursa adhimu kumwambia Rais Steinmeier wakirudishe nchini tumpe Shujaa wetu heshima yake inayostahili.
Suphian Juma Nkuwi.