Wajerumani walirudishe fuvu la Liti mkoani Singida

Suphian Juma

Senior Member
Apr 2, 2019
133
546
WAJERUMANI WALIRUDISHE FUVU LA LITI SINGIDA.

Sijawahi kusikia Rais wa Ujerumani amekuja kwetu Tanzania, hii ndiyo mara ya kwanza. Shikamoo Rais Dkt Samia.

Rais Dkt Frank-Walter Steinmeier atafanya ziara ya Siku 3 kuanzia Octoba 30 hadi Novemba 1, 2023, ambapo pamoja na mambo mengine atawatembea wahanga wa Vita vya Maji mkoani Songea.

Singida tuna Shujaa wetu Malikia "Liti" aliyekuwa na uwezo wa kuamrisha mdudu "nyuki" kuyashambulia majeshi ya Wakoloni Wajerumani; aliuawa, kichwa chake hadi sasa kipo Ujerumani, hii ni fursa adhimu kumwambia Rais Steinmeier wakirudishe nchini tumpe Shujaa wetu heshima yake inayostahili.

Suphian Juma Nkuwi.

_20231029_121241.JPG
 
Naunga mkono hoja na huu ndio uzalendo.
P
 
View attachment 2796673
Waliotulia babu zetu halafu eti tunawachukia waraabu. Tusomeni historia tusichukie tu
 
Huyu aombwe kusaidia kufukua mali, tugeuze mafedha tujenge reli.
German at 1800, walishaspot Madini yote Tanzania, na haya ambayo tumeyagundua ni only 35%.
Wewe ni miongoni mwa wale wanoamini hadithi za wajinga kuwa Wajerumani walificha madini? Niliwahi kukutana na wajinga walioniambia kuwa kuna eneo wameliona ambalo mjerumani alificha madini chini ya mlima halafu akaweka alama.

Maskini wajinga hawa waliona survey reference points ambazo zamani kabla ya technololia ya hand held gps, zilikuwa zinawekwa kwenye vilele vya milima, wenyewe wakaishia kwenye conclusion eti ni alama ya kuonesha sehemu mjerumani alipoficha madini, wakaishia kuibomoa na kuchimba eneo lote.

Ujinga ni mzigo mzito sana.
 
WAJERUMANI WALIRUDISHE FUVU LA LITI SINGIDA.

Sijawahi kusikia Rais wa Ujerumani amekuja kwetu Tanzania, hii ndiyo mara ya kwanza. Shikamoo Rais Dkt Samia.

Rais Dkt Frank-Walter Steinmeier atafanya ziara ya Siku 3 kuanzia Octoba 30 hadi Novemba 1, 2023, ambapo pamoja na mambo mengine atawatembea wahanga wa Vita vya Maji mkoani Songea.

Singida tuna Shujaa wetu Malikia "Liti" aliyekuwa na uwezo wa kuamrisha mdudu "nyuki" kuyashambulia majeshi ya Wakoloni Wajerumani; aliuawa, kichwa chake hadi sasa kipo Ujerumani, hii ni fursa adhimu kumwambia Rais Steinmeier wakirudishe nchini tumpe Shujaa wetu heshima yake inayostahili.

Suphian Juma Nkuwi.

View attachment 2796673
Fuvu pekee la kichwa lililokuwepo kwenye kumbukumbu za historia kuwa lilichukuliwa na Wajerumani, ni la Mtwaa Mkwawa, na lilikwisharudishwa. Lipo Kalenga, Iringa, kwenye jumba la makumbusho la Mkwawa.

Huyo Liti, yawezekana alikatwa kichwa, na kutupwa.
 
Wewe ni miongoni mwa wale wanoamini hadithi za wajinga kuwa Wajerumani walificha madini? Niliwahi kukutana na wajinga walioniambia kuwa kuna eneo wameliona ambalo mjerumani alificha madini chini ya mlima halafu akaweka alama.

Maskini wajinga hawa waliona survey reference points ambazo zamani kabla ya technololia ya hand held gps, zilikuwa zinawekwa kwenye vilele vya milima, wenyewe wakaishia kwenye conclusion eti ni alama ya kuonesha sehemu mjerumani alipoficha madini, wakaishia kuibomoa na kuchimba eneo lote.

Ujinga ni mzigo mzito sana.
Huku ni elewa, German na waingereza walispot maeneo yote ya rasilimali Tanganyika 1800, mpaka sasa sehemu ambazo zinachimbwa mali kama dhahabu, Makaa ya Mawe N. K, ni 45% tu, zipo mali chini ya ardhi ambazo wazungu wanazifahamu zilipo lakini sisi hapa hatufahamu chochote!
 
Kuna Yale mabaki ya dinosaur 🦖 🦖 mijusi mikubwa iliyopata kuishi mamilioni ya miaka iyopita waliondoka nayo na wanapatia pesa za utalii warudishe pia
 
Vipi hilo godauni hapo pembeni mwa uwanja wa namfua sasa hivi unaitwa uwanja wa Liti inasemekana mabaki ya kiwili yalizikwa hapo ndio maana imeshindikana kuezekwa. Kila likiezekwa upepo mkali huja kuling'oa paa. Mwenye uhakika lilipo kaburi la bibi yetu Liti eneo hilo atuambie. Na hao wajerumani warudishe mavufu ya mashujaa wetu waliyoyachukua na watuombe radhi kabla hatujaanza kudai fidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom