Wajenzi tukutane hapa

Wajenzi tukutane hapa

Joined
May 20, 2016
Posts
25
Reaction score
6
acd236afe7fa665f781eea8d954b19ae.jpg

About Big One Enterprises
Big One enterprises(logistics )
Tupo kwa ajili ya kukupunguzia gharama,mda,usumbufu katika sekta ya upauaji,tumejikita katika kuokoa gharama na kumpunguzia mteja gharama kutokana na zama hizi na hali halisi
faida utakazozipata Big One Enterprises ni zipi?
1.Gharama za chini za upauaji kupitia mafundi wetu wa ofisini,kwanzia kumfatilia mpaka kukabidhi kazi ni jukumu la ofisi
2.Gharama za usafirishaji kwa upande wa bati ni za kwetu.
3.Gharama za ufatiliaji za kiwandani ni za kwetu
4.mazungumzo ya gharama kuafikiana kwa pande zote mbili
58a341e87661c46023e72a7b3e76f959.jpg

5.Ushauri wa kiufundi kwa nzia aina gani ya bati kwa ubora wa rangi,material ya bati,uimara wa bati,gauge halisi kulingana na hali halisi ya eneo uliopo
7.Upatikanaji wa bidhaa ndani ya masaa 24 kwa wakazi wa Dar-es-salaam,ile pia nje ya Dar-es-salaam ndani ya masaa 24 mzigo utakuwa ushatumwa tayari
8.Tutakufuata popote pale ulipo
c6a8aa64283ad478a476a5d447937f20.jpg

Big one we simplify fou you

Call 0655-501098, 0656-81661 6 kwa maelezo zaidi
 
mimi nipo kampuni ya ujenzi pia nitakutafuta one day
ila ten percent unipe
by the yay naitaji sim tak lita 3000 na elf 5000 kwa bei ya chini kabisa hapa dar naweza kupata wapi mkuu
 
Back
Top Bottom