Mwanaume yeyote anayekimbia mimba yake, ni sawa sawa na mama azae atelekeze mwanae.
Vyote viwili ni equally bad.
Wanaume na wanawake ambao hamko tayari kuwa wazazi, think before fu--ing and --ck responsibly!!!!!
Hasa hasa wanaume, wengine kazi ya kutotolesha kina dada na kuwatelekeza.
Na hawa wadada should do a due diligence kabla ya kuingizwa mkenge na kubeba mimba ya kilaza.