Majibu tuyatarajie bungeni baada ya muda gani?
Hahahahahahahaaaa. Kumbe Choka Uadilifu Futa ni chama cha wanaume pekee?thibitisha mwenyewe ni lini? au wewe usomi alama za nyakati, huoni ngumi zinalika mjengoni kwa sababu ya nyie kutaka kuwa siye; hamuoni soo hilo sasa kwenye chama chenu cha choka uadilifu futa? eti nayo mmeiita sera yenu kuwa kinyume na uumbaji wa Mungu haoni mnaleta majanga nyie
Hahahahahahahaaaa. Kumbe Choka Uadilifu Futa ni chama cha wanaume pekee?
Huyu mama mtata, na wewe mkuu jiangalie usikamatwe na ngozi
thibitisha mwenyewe ni lini? au wewe usomi alama za nyakati, huoni ngumi zinalika mjengoni kwa sababu ya nyie kutaka kuwa siye; hamuoni soo hilo sasa kwenye chama chenu cha choka uadilifu futa? eti nayo mmeiita sera yenu kuwa kinyume na uumbaji wa Mungu haoni mnaleta majanga nyie
Hahahahahahahaaaa. Kumbe Choka Uadilifu Futa ni chama cha wanaume pekee?
Huyu mama mtata, na wewe mkuu jiangalie usikamatwe na ngozi
Mkuu nimepokea taarifa.
Kama utaangalia maelezo yangu yameambatana na swali kama sehemu ya kuanzia.
Nafikiri mkuu utakuwa unakumbuka katika michango yangu mingi utabaini mimi ni M4C kwa damu.nadhani best grafani11 hukunielewa soma alama za nyakati utanielewa nilichokuwa nakizungumzia hapo juu kuhusu hicho chama cha CHOKA UADILIFU FUTA si cha wanaume ni cha wote, ELEWA NAMAANISHA NINI HAPO
Nafikiri mkuu utakuwa unakumbuka katika michango yangu mingi utabaini mimi ni M4C kwa damu.
Nilipoangalia mchango wako ulikuwa unaniweka sehemu ya Maliberali wakati miye huko sipo yakhee. Na hapo ndipo paliponipa shida kidogo.
Huyu mama mtata, na wewe mkuu jiangalie usikamatwe na ngozi
Huyo ndiye Rais wa Mbeya hakuna mwingine, nakumbuka alivyomaliza ule upigaji nondo ambao hata mkuu wa Mkoa na RPC wake uliwashinda.kumbe wewe ni kamanda na ni akina hawa View attachment 96449nilidhani nawe ni kama hawa Choka Uadilifu Futa au ni huyu ndo yuko uko Mentor
Habari zenyu bhana......... Hope mko pouwa!
Kuna hii issue ya wajawazito kuvaa nguo fupi maarufu kama vimini, unakuta mama mjamzito kavaa kigauni au kiskirt kifuuupiiiii saaaaana kinachofikia nusu ya mapaja afu ndani hajavaa nguo nyingine. Na wengine wamekwenda mbali wanavaa skin tight au skin jeans na top dress, wengine hawavai kabisaaaa nguo za kuachia mwili upate nafasi, wameng'ang'ania visuruali na vipyedo ilhali hawajua madhara yake. Hivi ndio kwenda na wakati au kupunga upepo?? Au kwa vile ni wajawazito wanakuwa na haki ya kufanya chochote watakacho????
Sijui ni ushamba wangu au ni sawa???
Hebu wataalamu wa afya ya mama mjamzito mwageni mapwenti hapa, huenda kuna wengine hawajui madhara ya kuvaa nguo za kubana wakati wa ujauzito!
Wabheja sana!
Huyo ndiye Rais wa Mbeya hakuna mwingine, nakumbuka alivyomaliza ule upigaji nondo ambao hata mkuu wa Mkoa na RPC wake uliwashinda.
Yeah mamito.si umeona mwenyewe sasa unanikubali au?