Mkirua JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 5,647 Reaction score 2,513 Mar 14, 2012 #21 Katavi said: Yupo kikazi zaidi, atakuwa alidai.......wewe usingedai?? Click to expand... Yataka moyo mkuu maana unawezajikuta unasamehe.....lo...
Katavi said: Yupo kikazi zaidi, atakuwa alidai.......wewe usingedai?? Click to expand... Yataka moyo mkuu maana unawezajikuta unasamehe.....lo...
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Mar 14, 2012 Thread starter #22 MadameX said: Ukiisha msimu kazi kwishney watu wanarudi gheto. Sasa inakuwaje kwa kibonge kama mimi? Click to expand... Unabebwa tu, mbele ya wabebaji wewe sio bonge..
MadameX said: Ukiisha msimu kazi kwishney watu wanarudi gheto. Sasa inakuwaje kwa kibonge kama mimi? Click to expand... Unabebwa tu, mbele ya wabebaji wewe sio bonge..
RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 883 Reaction score 169 Mar 14, 2012 #23 kazi hii inafaa sehem zenye mvua sana kwa jua hili la bongo utalala na njaa
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Mar 14, 2012 #24 Sasa mbona kamfunua funua hivyo?