Wajapani Na Utamaduni Wao

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
15,302
21,614
Nimeona leo tuangalie picha zinazoonesha watu wa Japan wakishehereka na kitu wanaita Hōnen festival, sherehe ambayo hufanyika kila mwaka.

Sherehe hizo zilifanyika katika jumba la ibada liitwalo Tagata Shinto Shrine huko katika mji wa Komaki.

festival_350x250.jpg
Wanaume 12 wakibeba uume ulitengenezwa kwa mbao na ni mzito hasa.

penisfestivalEPA_350x250.jpg
Wanaume wote ambao hubeba uume huo wa bandia ni wale wenye umri wa miaka 42.

girlfood2_350x250.jpg
Mwanadada wa kijapani akila "sosage" iitwayo "hotdog" yenye umbo la uume ambayo imezungushiwa chapati, kuonesha ishara ya makutano ya mwanamme na mwanamke.

gianwoodpenis_350x250.jpg
Uume huo unakaribia ndani ya jumba la maombi.

food_250x350.jpg
Hotdogs zinauzika kwa kasi ya ajabu.

pray_350x250.jpg
Mwanamke mjamzito akiomba kwa uume huo. Haijulikani kama ujuzito huo aliupata kabla ya maombi au vipi.

shrine_350x250.jpg
Uume huo ukiwa umepunzishwa ndani ya jumba la maombi.

stall_350x250.jpg
wateja wakiangalia ni uume gani bandia wa kununua.

stonetesticles_350x250.jpg
Mwanamke mzee akiomba mbele ya uume na huku akishikashika kende za mawe.

womanpenis_250x350.jpg
Mwanamke wa kijapani akiigiza kula sosage ndogo ya mbao mbele ya uume huo mkubwa.

womankiss_350x250.jpg
Mwanamke wa kiafrika nae akibusu uume huo wa bandia.

womanbrowse_350x250.jpg
Mwanamke mwingine akitazama vitabu vyenye maandishi yanasaidia kuomba kwa huo uume.


Basi hayo ni mambo ya wenzetu wajapani.
 
Back
Top Bottom