Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,700
- 1,721
Nimesikia pana watu wameongozana na mchezaji Mbwana Samata huko DRC kwenye klabu yake ya TP Mazembe eti kufanikisha uhamisho wake kwenda Ulaya. Nimejiuliza je walimsaidia kujiunga na TP Mazembe tokea Simba? Nchi hii ndo maana kisoka hatuna maendeleo kwa sababu ya hao wapiga dili kwenye kila hatua katika soka. Mbwana Samata chonde chonde achana nao na jikite kwa mwajiri wako tu. Jifikirie bila timu hiyo kukusajiri hivi sasa ungekuwa wapi?