Sitanii hapa kwetu leo 18/09/2015 hakuna umeme tokea asubuhi,huku tuliamka tukiwa na matumaini tele kuwa ule umeme wa gas unaanza leo ,Mitambo itawashwa Ubungo,Kinyerezi na mnazi bay,grid ya taifa itanona,viwanda hadi vijijini,bei poa na tutanusu maji yetu ili tuyatumie kwa kilimo cha umwajiliaji, tutanusuru misitu yetu kwani gunia la mkaa litakuwa sawa bei mara kumi kulinganisha na bei ya gas.hii nini sasa?