Waja mna mambo sana

Hafanyi chochote huyo tena nimechukua fomu na Mimi
 
Ukiwa Mkristo hodari mwenye Imani thabiti kabisa,huyu anapigwa ganzi ya kiwango cha kimataifa,na tunguli zake zisimfae kitu.Imani kwa Yesu inamaliza kila kitu kiovu.

Huyo na wale manabii walioenda kuchukua form lao moja tu, hakuna mwenye majini wala Yesu hapo.

Mtumishi wa Bwana anahudumia watu wa vyama vyote, hatakiwi kuwa na upande ili aweze kukemea, kushauri au kuonya upande wowote unapoenda kinyume. Wakikatwa wataendelea kuwa wachungaji huku wakinadi sera zao na kuhubiri kwa wakristo wa vyama tofauti makanisani.

Mtawatambua kwa matunda yao.
 
Kweli kabisa mkuu umenena.
 
Ukiwa Mkristo hodari mwenye Imani thabiti kabisa,huyu anapigwa ganzi ya kiwango cha kimataifa,na tunguli zake zisimfae kitu.Imani kwa Yesu inamaliza kila kitu kiovu.
maneno tu. si ukristu wala uislamu wala dini inamaliza uovu wote. kumbuka kama wewe ni muumini wa mungu haqta uou umeumbwa na mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…