donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahaah, kumbe umeelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Af nipo kawe hii bar ya chini opposite na TK pakers[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mawazo ya mvua
Mi niko namtumikia tajiri saa hizi. Saa kumi ndo nitakua mtaaani. Ukija mitaa ya pale kwa mdudu nichekAf nipo kawe hii bar ya chini opposite na TK pakers
Hapo mbez sio?? Cjui nipite nione unavokua mdgo kwa bosi?Mi niko namtumikia tajiri saa hizi. Saa kumi ndo nitakua mtaaani. Ukija mitaa ya pale kwa mdudu nichek
HahahahahaUkifika huo muda huku uswahilini wataanza kuimba...huo mtendeee umechanuaaaaa.Wakati wa kuchanuaaaa chaaaanuu chanuuu chanuaaaa ....sijui huwa wanamaliziaje!
Ukifika huo muda huku uswahilini wataanza kuimba...huo mtendeee umechanuaaaaa.Wakati wa kuchanuaaaa chaaaanuu chanuuu chanuaaaa ....sijui huwa wanamaliziaje!
Aminia.Kweli weye ni King'asti haswaa!Wanamalizia 'chaaaaaaaaaa' fu wanafunua nguo