Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
Waitee zungusha tenaaaah
View attachment 816739
Ah ah ah ah ah😀😀😀
Nakumbuka kale ka wimbo ka Roma na bagdad "Ccm sale ingekua kaki chadema wangetinga kijani na yellow. Big G ingeuzwa laki gunia la bangi likauzwa jero"
Amin ichi .... Yan siku izi kiu ikikushika unaingia bar unauliza ntapata moja barid ...!!!1000????
Wooooiiii
Kweri kabisasafi ,vijana waache kunywa gongo sasa
Ah ah ahTunalazisha taifa la walevi. Sipati picha bodaboda watakavyovunja watu migiu
Hahahahaa kama nakuonaAmin ichi .... Yan siku izi kiu ikikushika unaingia bar unauliza ntapata moja barid ...!!!
Hahahahaa kama nakuonaAmin ichi .... Yan siku izi kiu ikikushika unaingia bar unauliza ntapata moja barid ...!!!
Nikupitie jilanHahahahaa kama nakuona
Karibu chama la wana ndugu yanguHii ni fursa nzur sana,nitajitahdi na Mimi nianze kunywa taratibu taratibu!