Waiter jeuri

Waiter jeuri

MTEJA:Oya,mbona huyu kuku uliyeniletea ana mguu mmoja mrefu kuliko mwingine?
WAITER:Kwani huyo kuku unataka kumla au kucheza nae muziki?
hahahahaaaahohohohohoooohuhuhuhuuuuuuuu!
 
aisee kuna muuza machungwa mmmoja nilimuuliza kama ameosha akanijibu almsot the same..............unataka kula na maganda?
 
Duh aiseee,yaani anachukulia poa tu,kweli duniani kuna mambo na mambo wanayo walimwengu.
 
Mi nimeshuhudia ngumi laivu hapa mburahati kisa jamaa alienda kwa mchoma mahindi akamuuliza bei gani muuzaji akamwambia 200, mteja akamuuliza muuzaji mwisho? Muuzaji akamjibu mwisho wa hindi ni gunzi jamaa akamaindi akam2kana ndipo muuzaji akamtandika na hindi la kichwa ndo tafrani ikatokea.
 
ha ha ha ha n shdaaaa
 
like sanaaaaa
 
piga uyoo... hz njaa zna wasumbua
 
MTEJA:Oya,mbona huyu kuku uliyeniletea ana mguu mmoja mrefu kuliko mwingine?
WAITER:Kwani huyo kuku unataka kumla au kucheza nae muziki?

asante sana waiter harudii tena cku nyngne,ha ha ha kw kw kw kw....
 
Back
Top Bottom