Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
- Thread starter
-
- #21
Na hii ndio target kubwa kwa sasa, watanunuliwa sana, sababu itakuwa ni mboweLengo ni mbowe aachie uenyekiti. Mbowe ndio kikwazo cha kuisambaratisha cdm .Na nafikiri ccm wana mtu wao ,pandikizi limeandaliwa tayari. WAKISIKIA MBOWE KAACHIA UENYEKITI BASI WATASHEREHEKEA.Mambo mawili yatatokea mosi kupandikuza mgogoro ktk mchakato wa kumpata mkitI mpya au kuhakikisha wanaweka mtu wao. TUSUBIRI!
Tena wamesahau kuwa kuanza upya si ujinga,waondoke hata woteSi wahame wote tuanze upya mbona sasa wanatupasua Vichwa.
Weka maneno yako akibaHuyu jamaa nilijuwa anaakili timamu
Lakini kweli kabisa kichaa sio lazima kuokota makopo
God forbid.
Leo hii??Mwita ni BOYA wa Kiwango Cha LAMI.
Sijaona si CCM wala chademaNi chama kipi ambacho kina democrasia ya kweli Tanzania? Chama kinachofanya uchaguzi huru na wa kishindani unafanyika chama gani?
Alipokuwa Chadema naona nchi ilipiga hatua.... Sizitaki mbichi hizi. Nimekumbuka darasa la tatu kwenye hadithi ya Sungura na NdiziNdomana nchi hii kupiga hatua ni ngumu sana,kwa sababu ya kuwepo watu Aina hii
Ova
Una roho ngumuWaondoke wote hata Mbowe nae akitaka aondoke..CHADEMA itabaki imara
Awepo cdm Awepo act cuf etc,nachomanisha Wanasiasa wote asilimia kubwa ni wanafki wachumia tumbo tu....Alipokuwa Chadema naona nchi ilipiga hatua.... Sizitaki mbichi hizi. Nimekumbuka darasa la tatu kwenye hadithi ya Sungura na Ndizi
Jana,Leo na hata milele ni BOYA.Leo hii??
Weka maneno yako akiba
Hana shuguli zaidi ya kupiga porojo huyoUmekwisha hama si uendelee na mambo yako huko uhamishoni? Ya Chadema yanakuhusu nini? Subiri uchaguzi au uteuzi!!!
Na bado. Vichwa vyote huko ufipa vitapasuka kabisaa.Si wahame wote tuanze upya mbona sasa wanatupasua Vichwa.