Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema kwa vijana wanaotafuta ajira, ajira zinatengenezwa na Chama cha Mapinduzi.
Waitara huyo ni Kitimoto na Bia usimlaumu sanaSo what..?
Hivi hawa viongozi wetu peo zao zinafanya kazi sawasawa..?
kuna vitu vinachekesha na kufurahisha!, Nafikiri zama zimebadirika hizi fikra zilikuwa za miaka ya 1990 huko!.
kiongozi unasimama nakusema chama ndo kimefanya utafikiri yeye ndo alitoa hizo hela!, mi sidhani hawa wabunge wanajua hata majukumu yao!.
Kufanya hayo mnayofanya ni wajibu wenu maana kwanza mnalipwa na pili ni pesa ya wananchi so nyinyi ni waajiliwa wetu sisi ndo maboss.
bado unakuja kutapa mbele ya maboss zako!, hawa wameshiba na kuvimbewa tuliendelea kuwaacha ipo siku watatunyoa vipara waanze kutukoa kabisa!.
Ndio Chama kinachobinya vijana wasiwe na ajira wakiongozwa na Amos ila ni mlevi kweliNdicho Chama kinachokosesha ajira!
Lakini huyu ni Mlevi tu.
Ndio hizo na mamalishe mitungi ya Gesi akili imeishia hapoAtoe mfano ajira gani zimetengenezwa na chama cha mapinduzi ?
Au bodaboda za SSH wanahesabu ni ajira?
CCM hovyo kabisa.
Kwa maneno yake ni sawa kabisa Vijana wote ambao hawana ajira kukilaumu na kufanya maamuzi magumu dhidi ya Chama cha MapinduziKU
kama ni kitimoto na bia atoke hapo sasa!Waitara huyo ni Kitimoto na Bia usimlaumu sana
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema kwa vijana wanaotafuta ajira, ajira zinatengenezwa na Chama cha Mapinduzi.
Upo Vwawa sehemu gani😄😄Kuna Mtu Mmoja Yupo Kigoma Nikamuuliza Vp Mwaka Huu Chaguo Lako Akasema Kijani Itupishe
Nipo Hapa Vwawa Namtafuta Lucas Haonekani
Imperial InnUpo Vwawa sehemu gani😄😄
Labda anasema machawa+wakata maunoAtoe mfano ajira gani zimetengenezwa na chama cha mapinduzi ?
Au bodaboda za SSH wanahesabu ni ajira?
CCM hovyo kabisa.