Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 2,021
- 2,455
Hamnazo kweli nyiez si mlisema hatashindaHuyu akili zake zitamrudia uchaguzi wa 2020, atajutia hizi kauli chafu anazozitoa, CCM watamtupa kama hawamjui. Amalizie hiki kipindi kilichobaki na asahau kuhusu ubunge.