Si yupo nao CCM akina HalimaMbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara, amewataka wapinzani wahamie CCM kwa kuwa ni sehemu salama.
"Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku unazungumza kwa uhuru walioko nje wamechelewa kuja, unamuona Profesa Kitila sasa hivi ni Waziri, Silinde sasa hivi ni Waziri na Mollel naye ni Waziri hawa 19 nao tunao na mimi nakula upepo humu bungeni kupitia Tarime vijijini sasa mnataka nini tena, sio unakaa na chama ambacho mtu ukihoji anakufukuza, CCM mtuonee huruma tuliokuwa kule tulichelewa sana, niwashauri na nyie ni akina mama (Halima Mdee na wenzake) si mje tu CCM kazi iishe" - Mwita Waitara
Nini maoni yako?
Huyu mlevi mbwa analewa hadi anajikojolea ni wa kupuuzwa tu na huo ubunge ajue ndiyo lala salama kwake harudi tenaMbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara, amewataka wapinzani wahamie CCM kwa kuwa ni sehemu salama.
"Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku unazungumza kwa uhuru walioko nje wamechelewa kuja, unamuona Profesa Kitila sasa hivi ni Waziri, Silinde sasa hivi ni Waziri na Mollel naye ni Waziri hawa 19 nao tunao na mimi nakula upepo humu bungeni kupitia Tarime vijijini sasa mnataka nini tena, sio unakaa na chama ambacho mtu ukihoji anakufukuza, CCM mtuonee huruma tuliokuwa kule tulichelewa sana, niwashauri na nyie ni akina mama (Halima Mdee na wenzake) si mje tu CCM kazi iishe" - Mwita Waitara
Nini maoni yako?
Huu ubinafsi ndo Sera ya CCM? Mbunge anawaza viyoyozi badala ya maendeleo ya watu wake? Yaani CCM ipo Kwa ajili ya wachache kunufaika Kwa Ubunge wa kubebwa? Hapa utawaona Chawa wanasifu ujinga wa huyu Mbugila.Mbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara, amewataka wapinzani wahamie CCM kwa kuwa ni sehemu salama.
"Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku unazungumza kwa uhuru walioko nje wamechelewa kuja, unamuona Profesa Kitila sasa hivi ni Waziri, Silinde sasa hivi ni Waziri na Mollel naye ni Waziri hawa 19 nao tunao na mimi nakula upepo humu bungeni kupitia Tarime vijijini sasa mnataka nini tena, sio unakaa na chama ambacho mtu ukihoji anakufukuza, CCM mtuonee huruma tuliokuwa kule tulichelewa sana, niwashauri na nyie ni akina mama (Halima Mdee na wenzake) si mje tu CCM kazi iishe" - Mwita Waitara
Nini maoni yako?
Pale alipo Pangekuwa salama, asingekuwa analia kila uchaoHuu ubinafsi ndo Sera ya CCM? Mbunge anawaza viyoyozi badala ya maendeleo ya watu wake? Yaani CCM ipo Kwa ajili ya wachache kunufaika Kwa Ubunge wa kubebwa? Hapa utawaona Chawa wanasifu ujinga wa huyu Mbugila.
Kura za maoni Tarime vijiji kupitia CCM hutanusurika!!Mbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara, amewataka wapinzani wahamie CCM kwa kuwa ni sehemu salama.
"Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku unazungumza kwa uhuru walioko nje wamechelewa kuja, unamuona Profesa Kitila sasa hivi ni Waziri, Silinde sasa hivi ni Waziri na Mollel naye ni Waziri hawa 19 nao tunao na mimi nakula upepo humu bungeni kupitia Tarime vijijini sasa mnataka nini tena, sio unakaa na chama ambacho mtu ukihoji anakufukuza, CCM mtuonee huruma tuliokuwa kule tulichelewa sana, niwashauri na nyie ni akina mama (Halima Mdee na wenzake) si mje tu CCM kazi iishe" - Mwita Waitara
Nini maoni yako?
Mbunge haleti maendeleo, amka bwashee.Huu ubinafsi ndo Sera ya CCM? Mbunge anawaza viyoyozi badala ya maendeleo ya watu wake? Yaani CCM ipo Kwa ajili ya wachache kunufaika Kwa Ubunge wa kubebwa? Hapa utawaona Chawa wanasifu ujinga wa huyu Mbugila.
🤣🤣🤣💭Mbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara, amewataka wapinzani wahamie CCM kwa kuwa ni sehemu salama.
"Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku unazungumza kwa uhuru walioko nje wamechelewa kuja, unamuona Profesa Kitila sasa hivi ni Waziri, Silinde sasa hivi ni Waziri na Mollel naye ni Waziri hawa 19 nao tunao na mimi nakula upepo humu bungeni kupitia Tarime vijijini sasa mnataka nini tena, sio unakaa na chama ambacho mtu ukihoji anakufukuza, CCM mtuonee huruma tuliokuwa kule tulichelewa sana, niwashauri na nyie ni akina mama (Halima Mdee na wenzake) si mje tu CCM kazi iishe" - Mwita Waitara
Nini maoni yako?
Ubongo wa Waitara umejaa usaha!Waitara atakuwa amepiga bapa na bangi