Waitara ampandia Rais Magufuli

HATUTAKI LONGOLONGO NCHI INAENDESHWA KWA RASIMU YA CCM.
KAULI MBIU NI HAPA KAZI TUU
 
Sizani kama kauli zinazo onenaka ni maamuzi binafsi ya mtu mmoja ni vizuri kuyafumbia mdomo ikiwa ni athari kwa wengine na faida zao
ni bora tuache nchi iende kwa misingi ile ile tuliyolelewa na wakuu waliopita.kama walikua wanakosea basi wawajibishe kwa uongozi wao mbovu uliotulea..
 
HATUTAKI LONGOLONGO NCHI INAENDESHWA KWA RASIMU YA CCM.
KAULI MBIU NI HAPA KAZI TUU
Kwa kazi gani inayofanywa...?kazi kubwa ingeanza na kutumbua lile jipu la Richmond na wote walio husika hapo tungeona iyo kazi..kazi imekua ya usafi kila jumamosi
 
Witara size yake mi Jerry Slaa, kwa magufuli ni mwendelezo ule ile wa kutaka umaarufu pasipo kuwa maarufu.
umaarufu wa magufuri unatojana na ujinga wa baadhi ya watanzania, mtu asiyetumia akili kamwe umaarufu wake Ni wa mda mfupi. Hitler naye alianza hivi pia idi Amin dadaa
 
Rais anawagwaya UKAWA, lakini kwa sababu ya rais huyo huyo UKAWA wameanza kuwagwaya Wananchi , 2020 Magufuli hapigi kampeni.
haa haa wenzetu mna kura zaidi ya moja nini wakuu...
 
Magu ni sikio la kufa.Yeye anatwanganya anavuruga kila kitu.Huyu sijui anavuta shisha au bange maana katiba na sheria kaweka mfukoni.
 
UKUTA sio Chama cha Siasa
 
Naona imekuwa wakati muafaka kwa kila kila mbunge wa chadema kupata kick kwa kutumia jina la magufuli.
Taifa la vilaza Rais anavunja sheria waziwazi lakini kwa sababu ya umbumbu wenu hamlioni hilo. Tutaendelea kuwa masikini wa hali na mali mpaka mwisho wa dunia tukisindikiza wenzetu wanaojitambuwa. Hivi ukisema rais hili umekosea utakufa?
 
Hakuna ukweli wowote nilioambiwa hapo, ukweli tutaujua 2019 na 2020.Waitara akirudi mnikate kidole mimi mkurya mwenzake lakini dalili za kumng'oa zimeshaonekana.

Usimfananishe waitara na vitu vya kijinga kama CCM
 
Ningekuwa Magufuli ningewapiga stop hata kwenye media maana sasa kero wamezihamiashia huko, kila siku kwenye TV, full kuuza sura.
Mwambie rais Magufuli afute vyama vya siasa vya upinzani ibaki CCM peke yake. Italeta maana zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…