Kutokana na simulizi za kwenye Torat na Quran, uwepo wa wana wa Israel nchini Misri unaanzia kwa Yusuf alipouzwa nchini Misri baada ya kufanyiwa umafia na kakake! Wakati Yusufu anauzwa Misri bado familia yake yote na Wahebrania wengine hawakuwa Misri!
Baada ya matukio kadhaa kupita ikiwa na la pamoja la Yusuf kutolewa gerezani na hatimae ndugu wa Yusuf (wa damu na asili) kuingia Misri baada ya nchi yao kukumbwa na ukame, ndipo baadae zinapokuja simulizi za Musa kuongoza wana wa Israel kutoka utumwani Misri na kuelekea Kanani!
Miaka takribani 40 ilipita bila wao kuingia Kanani ingawaje walikuwa tayari wameshatoka Misri kitambo! Na katika hiyo miaka, wa-Israel kadhaa walifariki kabla ya kuiona hiyo Kanan, including Mussa mwenyewe!
Sasa kama hoja ni kuzaliwa, kwanini wazazi wao wawe Wa-Israel waliokuwa utumwani Misri na wasiwe kizazi cha wana wa Israel waliokuwa Israel kabla hawajaingia Misri na hatimae kufanywa watumwa?! Au kwanini wazazi wao wawe wa-Israeli waliokuwa utumwani Misri na wasiwe wa-Israel waliokuwa wameshatoka utumwani Misri na kuingia the so called Canan?!
Wayahudi au waisrael Walipokuwa wanatumikishwa utumwani kule Misri ya kale , wapo Waisrael(wayahudi) weusi wengi tu waliochoka hayo maisha ya kutumikishwa waliona ni chuki na ujinga tu wa Pharaoh!
ujinga na nachuki hizi za kudhania hawa jamaa wanajidai kuwa wateule wa Mungu wakati wako kwetu Misri! nitwakomesha, na kweli bana likawatumikisha miaka 400, sasa miaka mia nne si padogo! km Misri tu walijaza je hawaja jaza tu Africa nzima?
so kwa hizi chuki baadhi wakasepa zao na mitumbwi kufuata uelekeo wa kusini wa mto Nile wakatawanyika Afrika mashariki na kusini yooote na baadhi wakaishia Uganda mpaka leo wapo wanaitwa Habayudaya, Bururi nk.
Kuna verse ktk Biblia inasema hivi ''From beyond the Rivers of Cush my doughters and my suppliants shall bring my offerings!! ebu ikumbuke hii.. na huyu nabii Isaya alikuwa anaongea akiwa Mashariki ya kati! ya leo!
Wengine wakaenda upande wa pili wa ziwa Victoria ajili ya marisho ya mifugo yao wakaishia Majita, na Bwai Kwa Waruri, kuna kabila linafanana lafudhi na hawa jamaa kule Rwanda na Uganda tena ni wilaya inaitwa Bururi Ditrict , inasemekana ni wamoja hawa jamaa na waruri wa Tanzania mkoani mara!! then Mugango. Mwanza na shinyanga,
Wayahudi wengi walikimbilia Africa kutoka Israel ya kale walipofika Misri tu, wachache walikamatwa tena na wamisri wakarudishwa hukohuko! kwa wayunani walioiteka Israel !! so waka badili route ya kutorokea
kupitia Yemen wakapanda mitumbwi kwenda Africa mashariki ya leo!! ambako walipata fununu kabla kuwa kuna ndg zao walitangulia huko mwanzoni wakitokea Misri na wako salama na ardhi ni kubwa haina watu waende tu watapokelewa bila shida!
Wengine waliangukia mikononi mwa wa Ethiopia wakawa jamii ya watumwa mpaka leo! baadhi yao wakauzwa tena na Mfalme wa Ethipia km watumwa! kuelekea USA na Ulaya!
So wengi wakazidi kutorokea kusini zaidi na zaidi ajili ya kukwepa Udharimu wa watawala waafrica Kaskazini wakorofi! waliokuwa wanawatwaa utumwani tena. for some years wakatulia kidooogo!
Kwani Promised Land imetambaa kutokea MIddle East mpaka usawa wa Mto Nile ambao unatambaa kutoka kwa Wahaya yaani kanda ya ziwa mpaka Misri ya leo then humo humo woote mulioko ndani ya maeneo hayo bado mko ndani ya Promised Land.
Lengo la israel ya weupe ni kutawala maeneo haya yooote! yaliyomo humu ndani ya mito hii!! Kuanzia Uganda Mpaka Syria, ndo maana Netanyahu anapenda kwenda sana Uganda mara kwa mara kutongoza watawala na wana elewana sana Museven.
sababu huyu jamaa Museven kawekwa tu na Miyahudi fake, ili aweke mazingira sawa na hii haijaanza leo wala jana, TZ mko hatiani kuwa koloni la Israel make mumo ndani kwenye Maeneo ya promised Land, amabyo wanitaka.
Hata Kina Vasco dagama walipokuwa wanapita Rasi ya tumani jema walitoa ripoti kuwa wale watu wa Zamani bdado wapo nimewaona Kusini! hapo ndo wakaanza kutalii humu barani kwetu eti wanjifanya wa vumbuzi... daa!!
SASA PENGINE UTAJIULIZA KWA NINI NA WALIWEZAJE KUINGIA MIDDLE EAST YA LEO YAANI PALESTINA KIRAHISI HIVO?
ngoja ninywe maji ntarudi!.....